hahahahaa napenda sana hii kitu[emoji3] [emoji3] [emoji3] acha kabisa imesababisha nisimame kama ngongoti usiku kucha
Loh!hatimaye umeonekana farkhina long time no see you
Vizuri sana tulikumiss though
mshana jr, unapiga hii dose alafu unateremshia na juice ya tende!... desert tende punch!.. mbona watakukoma!...
Yeah! Experience matters!... Funguka mkuu!... ulipomaliza kujikojolea ikawaje?!...Hamna kitu, sana sana utajikojolea tu usiku kitandani.
Lazima usimame kama ngongoti [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nimetoka kapa[emoji15] [emoji15]Kindu aho ni mshombe
Huko hakuna au?Hiyo kitu inatia kinyaa