boooonge la part!!!!!!!!!!!!!

boooonge la part!!!!!!!!!!!!!

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
upo wapi ww? Njoo hapa israeli PUB tupo na yuda ana mihela balaa! kasha muuza yesu,hapa ni nyama choma na mvinyo, si petro,luka,wala marko wote wapo chakariiii ile mbaya...!!!!! tumemtuma yakobo akalete viroba pale galilaya, ila marthayo ananifurahisha anacheza kiduku balaa we acha 2. ila njoo ukujua ni midhambi yetu ndo imemtoa yesu roho!!!
 
Hapana mi cji hilo bata siitaji!!jaman wakristo leo tukumbke tusile nyama.
 
]Hapana mi cji hilo bata siitaji!!jaman wakristo leo tukumbke tusile nyama. Da afadhali umenikumbusha, nilishaagiza mchemsho wa ng'ombe DU!
 
Dah hilo kwel noooooooooooooooooooooooo...........etc maaaaaaaaaaaaaaaa.......!!!!!
 
Aa kumbe mnajua Yesu alikufa na kuzikwa siku ya sita Ijumaa, siku ya saba Jumamosi akawa bado yuko kaburini na siku ya kwanza ya juma yaani Jumapili akafufuka! Sasa mbona huwa ham... ... ... Ila mna... ... ... kwa kibali cha nani?
 
Back
Top Bottom