Danos
Member
- Dec 21, 2013
- 88
- 100
Habari ndugu zangu.
Nimetumiwa meseji yenye ujumbe huu;
"Ndugu zangu wa vyuo vikuu tumieni vizuri pesa mlizonazo kwani serikali haijapeleka pesa bodi ya mikopo kwa sababu ya bunge la katiba..tegemea kupata boom mwezi wa sita au wa saba..mjulishe na mwenzio ili atumie pesa zake vizuri."
Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwani nmeshuhudia watu wakpiga kelele za 'njaaaaaah' hapa mabibo hostel. Mwenye taarifa yoyote atujuze na pia kama mawaziri wa mikopo vyuoni mnausoma uzi huu mtujuze maana hali si shwari.Asanteni.
Nawasilisha.