Duh...Based On True Story or Based On a True Story?Jiandae kupata nakala yako...View attachment 835165
Ukitaka na wewe mponde then sepa, acha kulalamika lalamika hapa.Shida ya Watz ni Roho mbaya chuki na ujuaji mwingi sasa mtu ameamua kuandika historia yake if your not interested usimpondee pita kushoto tuu. Unataka kila mtu afanye au afikiri unavotaka wew.
Napitia comment za watu wanakosa busara kabisaa
Naunga mkono hoja...Kitapatikana kwenye lugha ngapi?
Aiseeee...Duh...Based On True Story or Based On a True Story?
Hicho Kitabu tayari kimesha jipambanua kama mhusika alivyo.
you can Read it to become a fool.

Naona wabeba box ndo wanampondea zaidi, inawezekana wanajihami 'le akili kubwaz' asije akamwaga hadharani shida wanazopitia hukoShida ya Watz ni Roho mbaya chuki na ujuaji mwingi sasa mtu ameamua kuandika historia yake if your not interested usimpondee pita kushoto tuu. Unataka kila mtu afanye au afikiri unavotaka wew.
Napitia comment za watu wanakosa busara kabisaa
Mkuu, whether swala ni serious au siyo serious kila mtu ana maamuzi yake, kuna watu wanakaa masaa mawili kuangalia comedyWatu "serious" wakishaona huo utoto utoto wa neno "Le Mutuz Superbrand", hawatopeza fedha na muda wao kununua hicho kitabu.
Kitabu cha mengi kinaunzwa Tsh 40,000/= hiki sijui itakuwa tsh ngapi?Huku kitabu cha R.Mengi(sijui ndo kinaitwa I can,I must,....) huku le mutuz na MY AMERICAN EXPERIENCE),hahah
Kichwa boksi kama hili Nani atalipa nafasi.mbona Magufuli anamchunia hampi nafasi...au kwa sababu mama aliharibu