Rubawa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 2,055
- 3,263
tuache Wivu wa kijinga kwani ujui km mama mbunge nn...mbona Magufuli anamchunia hampi nafasi...au kwa sababu mama aliharibu
tuache Wivu wa kijinga kwani ujui km mama mbunge nn...mbona Magufuli anamchunia hampi nafasi...au kwa sababu mama aliharibu
ww mwenye kichwa cha computer umepewa nn...Kichwa boksi kama hili Nani atalipa nafasi.
Upo sahihi ndio uangalie mipango yko wakt wanaume wanafanya kweli...Le Mutuz na vitabu wap na wap....akaandike fb na Instagram apate followers
Naona wabeba box ndo wanampondea zaidi, inawezekana wanajihami 'le akili kubwaz' asije akamwaga hadharani shida wanazopitia huko

Duh!!!!Kichwa boksi kama hili Nani atalipa nafasi.
Shabiki wake anafanana nae...ndege wa aina mojaUpo sahihi ndio uangalie mipango yko wakt wanaume wanafanya kweli...
Huku kitabu cha R.Mengi(sijui ndo kinaitwa I can,I must,....) huku le mutuz na MY AMERICAN EXPERIENCE),
hahhahahhahahhahhahhahahBecause wote LE AKILI KUBWA U KNOW.. Le mutuz NYENYENYE, LE MUTUZ CINTYAWEEN, LE MUTUZ MOBIMBA, LE MUTUZ BOMAYE..![]()
hahahhahaha ila jamii forum ukiwa na stress ukiinngia humu zinaishaShabiki wake anafanana nae...ndege wa aina moja
kuna ubaya kwenye ilo ?Shabiki wake anafanana nae...ndege wa aina moja
Umenena mkuu..Watu "serious" wakishaona huo utoto utoto wa neno "Le Mutuz Superbrand", hawatopoteza fedha na muda wao kununua hicho kitabu.