Boniface Jacob ataja Mawaziri walionunua mahekalu

View attachment 2886260

Kupitia ukurasa wake wa X Meya Mstaafu wa Ubungo Boniface Jacobo ameandika namnukuu

" Taarifa ya ununuzi wa MAJUMBA nje ya nchi uliofanywa na mawaziri INATISHA

1.Maziri kutoka Zanzibar kanunua hekalu la Mabillioni ya pesa,DUBAI

2.Waziri mmoja kutoka Tanga amenunua mahekalu 2,South Africa

3.Waziri mwingine kutoka Tanga kanunua Zanzibar mahekalu 2

Picha zinakuja

Rai yangu:

Tanga kuna Mawaziri watatu January Makamba, Jumaa Aweso(Aweso kaoa Zanzibar) na Ummy Mwalimu.

Zanzibar inasemakana ni Waziri aliejiuzulu ndugu Simai.

Kazi kwenu wana jamvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni true story ya miaka ya 80 mwanzoni.
Aliyeiba fedha alikuwa Ex-Waziri Umaru Dikko VS Major-General Muhammadu Buhari wakati akitawala Nigeria.
BUHARI alikuta hazina imekauka na akaenda UK kuomba fedha kwa Malkia. UK wakamwambia kuhusu fedha za Dikko.
Ila baadaye Dikko alikuja kurudi Nigeria na kuanzisha Chama cha Upinzani.

Nigeria wana Sheria ya kimya kimya kwamba ukiiba fedha usizipeleke nje ila zibaki Nigeria. Ukipeleka hutafaidi.
Hivyo na yeye alirudi Nigeria na fedha zake akazirudisha...

Kuna wakati mkuu mmoja alienda kuomba msaada nje, akaambiwa kiasi unachoomba kuna waziri wako ameficha hapa kwetu katika benki mara mbili. Tukupe halafu wazirudishe tena hapa?
 
Huyu Boni kwa jinsi alivyofura, unajua tu kichwani kajaa mapumba, na kwa kuwa anauza mayai, lazima atakuwa anayala sana, usiku makazi yake ni sawa na kikosi cha mabomu au ukanda wa Gaza, au subaru za Arusha
Haya ndio majibu ya kile alichokisema?
 
View attachment 2886260

Kupitia ukurasa wake wa X Meya Mstaafu wa Ubungo Boniface Jacobo ameandika namnukuu

" Taarifa ya ununuzi wa MAJUMBA nje ya nchi uliofanywa na mawaziri INATISHA

1.Maziri kutoka Zanzibar kanunua hekalu la Mabillioni ya pesa,DUBAI

2.Waziri mmoja kutoka Tanga amenunua mahekalu 2,South Africa

3.Waziri mwingine kutoka Tanga kanunua Zanzibar mahekalu 2

Picha zinakuja

Rai yangu:

Tanga kuna Mawaziri watatu January Makamba, Jumaa Aweso(Aweso kaoa Zanzibar) na Ummy Mwalimu.

Zanzibar inasemakana ni Waziri aliejiuzulu ndugu Simai.

Kazi kwenu wana jamvi.

Hapo ulipomaliziana nikapakoleza pana harufu kali ya Wivu na Roho mbaya na pamekaa kiumbeaumbea.
 
View attachment 2886260

Kupitia ukurasa wake wa X Meya Mstaafu wa Ubungo Boniface Jacobo ameandika namnukuu

" Taarifa ya ununuzi wa MAJUMBA nje ya nchi uliofanywa na mawaziri INATISHA

1.Maziri kutoka Zanzibar kanunua hekalu la Mabillioni ya pesa,DUBAI

2.Waziri mmoja kutoka Tanga amenunua mahekalu 2,South Africa

3.Waziri mwingine kutoka Tanga kanunua Zanzibar mahekalu 2

Picha zinakuja

Rai yangu:

Tanga kuna Mawaziri watatu January Makamba, Jumaa Aweso(Aweso kaoa Zanzibar) na Ummy Mwalimu.

Zanzibar inasemakana ni Waziri aliejiuzulu ndugu Simai.

Kazi kwenu wana jamvi.
Sijaona waziri aliyetajwa, najionea umbea tu.
 
Mwanasiasa kawashutumu wanasiasa wengine ambao hajawataja wala hajatoa ushahidi.

Mtu yeyote anayemamini haya hadi kuumia moyo kuwa tumeibiwa namuonea huruma sana.
 
Ndio maana katika nchi zingine Wajeda hufanya yao.
Naona wanakuja, kama CDF alidiriki kumwambia samia kuwa kuna wakimbizi, basi ujue yanaanza kuwakifu. To me angeliweza kwenda kumwambia Ikulu wakiwa wawili....what prompted him to say it publically? yanaanza kuwafika shingoni
 
Back
Top Bottom