PreGE2025 Boni Yai: Mimi Boniface Jacob sihami CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu.

Siku ya leo aliyewahi kuwa ni Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataongea na waandishi wa habari baada ya ukimya wa muda mrefu.

Press itaanza muda wowote kuanzia sasa.

Tutegemee nini? Ataendelea kushikilia "No Reforms No Election" au nae atatema bungo kama G55?

Kaa karibu na uzi huu kwa ajili ya updates

=============================================

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Boniface Jacob amesema wakati na baada ya uchaguzi wa kupata viongozi wa chama hicho kulikua na makundi yanayomuunga kiongozi wake na baadhi ya watu walikua wanatukana ambao walikua wanamuunga Mkono Mwenyekiti wa sasa Mhe. Tundu Lissu.

Mwenyekiti huyo amefafanua kuwa ukweli hauwezi kufichwa kuwa hata waliokua wanamuunga mkono mwenyekiti mstaafu Freeman Mbowe walitukana, na hiyo haina maana yakuwekeana chuki kwani kilikua kipindi cha uchaguzi.

Boni amemaliza kila kitu. Sasa tufunge mjadala wa g55.

Walijichanganya😀
 
Kachambua mambo menu na ya msingi kwa weledi mkubwa.. Kaonesha ukomavu mkubwa wa kisiasa
 
Boni amemaliza kila kitu. Sasa tufunge mjadala wa g55.

Walijichanganya😀
Siyo wamejichanganya, hawa vibaka Mungu kawapiga upofu wafanye makosa ya wazi ili kila mwenye akili timamu awaelewe ni watu wa namna gani na pia ni nani yupo nyuma yao. CCM wana usengerema mwingi sana na hawajifunzi kila siku wanarudia makosa yale yale.
 
Back
Top Bottom