PreGE2025 Boni Yai: Mimi Boniface Jacob sihami CHADEMA

PreGE2025 Boni Yai: Mimi Boniface Jacob sihami CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kinachouma zaidi ni kusikia msajili wa vyama vya siasa amepangia vijana wa kiume apartment tena masaki huko uko wanakosema mashoga hupangiwa apartments. dunia imeisha. jaji kabisa anapangia mwanaume apartment.
 
Wakuu.

Siku ya leo aliyewahi kuwa ni Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataongea na waandishi wa habari baada ya ukimya wa muda mrefu.

Press itaanza muda wowote kuanzia sasa.

Tutegemee nini? Ataendelea kushikilia "No Reforms No Election" au nae atatema bungo kama G55?

Kaa karibu na uzi huu kwa ajili ya updates

=============================================

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Boniface Jacob amesema wakati na baada ya uchaguzi wa kupata viongozi wa chama hicho kulikua na makundi yanayomuunga kiongozi wake na baadhi ya watu walikua wanatukana ambao walikua wanamuunga Mkono Mwenyekiti wa sasa Mhe. Tundu Lissu.

Mwenyekiti huyo amefafanua kuwa ukweli hauwezi kufichwa kuwa hata waliokua wanamuunga mkono mwenyekiti mstaafu Freeman Mbowe walitukana, na hiyo haina maana yakuwekeana chuki kwani kilikua kipindi cha uchaguzi.


chadema wanaficha weakness yao ya kutokuweza kulinda umoja

kabla ya uongozi mpya kulikua na umoja,baada ya uongozi mpya umoja haupo

huu ni udhaifu wa hawa viongozi

wanaondoka wamelipwa,only a stupid fella will believe this nonsense

ccm inaweza walipa watu maelfu?

haya imeweza walipa hawa watu,kwanini awahamii ccm?

yaani ccm iwalipe halafu muende vyama vingine mvitie nguvu na sio ccm?

only a stupid person would believe this nonsense
 
Back
Top Bottom