Bongo ukiwa na PhD lazima uchukiwe

Na hasa kama huutendei haki huo usomi.
 
Wabongo wanataka mwenye PhD awe na mawazo kama yake wa darasa la saba.

Yaani wanataka wafanane mawazo, bila hivyo mara ni msaliti, mara PhD fake au elimu haija msaidia.

Mtu unalazimisha wa PhD awe na mtazamo kama wako wa darasa la 7.
Hii imemkost kaka yako huko Kyela kwa dharau zake... PHD haikufanyi uwe binadamu wa daraja la juu bali inakufanya uwe mwanazuoni mbobezi kwenye jambo fulani pekee.
 
Siku hizi Phd zipo kibao mbona. Waalimu wengi wa shule za Msingi na Sekondari ama wameshazipata au wako mbioni kuzipata. Masters ndio za kumwaga!!

Swali kubwa ni, Je, zinamchango wowote katika kuboresha ufanisi wa kazi na kuleta mapinduzi halisi ya elimu nchini au imekua ni fashion na kuongeza CV tu kwa wahusika?
 
Kwa sababu hatuna hizo PhD tafadhali tusilete chuki kwa walio nazo. Pengine, Lawama tuzipeleke kwa wazazi wetu kwa kutupa Elimu ya Kiwango Duni (EKIWADU).
 
Wabongo na ushamba wao wakiwa na Phd za chupi basi wanajifanya wanajua kila kitu.
 
Yaani huyu Mzee mwenye PhD alivyokuja tu kuandika Uzi huu nimegundua kwamba ni kilaza mkubwa kwa kushindwa tu kugundua kwamba so elimu yake inayochukiwa Bali pumba zenu nyie wenye PhD ndio sababu .

Na kiukweli nafikiri jf Kuna great thinkers kuliko huyu mwenye PhD ya kutolewa jalalani
 
PhD ni PhD tu kila fani inamtegemea mwenzake.Wewe lete dharau wenzako wanatengeneza Maisha
Kwamba huyu anadharau PhD coz ni ya food security? Huyu nae Hana tofauti na mtoa Uzi wote Hawa ni vilaza wenye viwang vidogo kabisa vya kifikra
 
Wewe mbona Huna hiyo PhD?
 
Wenye mamlaka wanakauli zaidi ya wenye utaalamu, kwetu sisi JPM ndiyo jaji, mganga mkuu, mtunga sharia, injinia mkuu , n.k kila kitu hata chenye kuitaji wataalam wenye mamlaka wanaingilia.. Hivyo hata uwe na PhD ukichangamana na siasa lazima jamii yetu ikuone kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…