Mbaya zaidi akanyamaza kimya kama siyo yeye na hii ni baada ya kupewa kacheo Jamani njaa hizi zinafuta hata PhDTanzania inahitaji watu wenye akili na maarifa mengi kwa ajili ya ujenzi wa Taifa lao na siyo hayo Ma PhD! Huwezi kumpima mtu uwezo wake wa akili eti kwa sababu ana digrii au la! Huko ni kukengeuka na kujitoa ufahamu.
Huenda ile sumu aliyowekewa Mheshimiwa wakati ule wa utawala wa awamu ya nne mpaka akanyonyoka nywele, haijawahi kumuacha salama. Tuendelee kumvumilia na kumsamehe.
Ww mbona huingii maabara?Very true,ukiangalia wasomi wa nje wenye phd hutafuta matatizo ya jamii na kuyasolve wakati huku wanatumia hizo phd kuwatishia watu.
Nitawaona wa maana sasa hivi wakiingia maabara na kutuletea dawa ya corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃Wahaya wote tutoe "like" kwenye uzi huu!!
😃😃😃Cha ajabu bunge letu PhD na Profesa za kumwaga lakini watu wanaoishi karibu na Ziwa Victoria wananunua maji ya dumu, mniwie radhi kama sijaeleweka.
😃😃😃ForeverMore,
Mwenye Degree 4 si ndio alisema ndoa kufungwa lazima uwe na cheti cha kuzaliwa.
😃😃Kama PhD ndio kama ya mwakyembe bora nisiwe nayo
😃😃 mtu ana phd but hajui nini cha kufanya😂😂Kuna mkuu wa mkoa wa Moro(PHD) ya mambo ya food security wkt Magu anaingia alitengua uteuzi wake jamaa likaanza kulia lia eti ooh eti hata yohana alimezwa kwny tumbo la samaki sijui nini nisamehe baba.Matunda ya PHD hayo
PHD-Permanent Head Damage
PhD fake zimejaaa bongoHii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
PhD tamu jamani
Sina Ila mwaka huu najisajili UNISAWewe una PhD?