Bongo ukiwa na PhD lazima uchukiwe

Si ungesoma biashara Basi.
 
Waliofeli shuleni ndio huongoza kwa chuki dhidi ya wasomi nakusahau ugumu wa maisha yao wenyewe
Mtu anashindwa kuapa kwa kiswahili. Bado anatetewa Sisi Ngumbaru tuna hasira bila sababu
 
Watanzania hawachukii wenye PhD bali wanachukizwa na matendo na kauli za baadhi ya watu wenye PhD.

"Unataka wanywe mkojo wako" PhD holder
"Mimi nina digrii nne, sina muda wa kuongea na watu kama wewe mlioishia la saba" alisikika mwenye PhD mmoja akisema.
 
Chuki nichukie. Niguse Ninuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…