Bongo Star Search na uwezo wa washiriki. Watanzania tunapigaje kura?

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,794
3,724
heshima mbele wana jf
Hebu tulitazame hili la bongo star search na uwezo wa washiriki ndani ya shindano. Kwa kweli nashindwa kuelewa ni nini hasa kinachotokea ktk kuangalia uwezo wa mtu na kipajia lihonacho ktk uimbaji,or perfomane in general. Kwa siku ya jana ametoka mshiriki mmoja kwa Jina la Norman Severino a.k.a Tege.,kijana ana uwezo mzuri sana wa kuimba na hata kumiliki jukwaa huku akiwa na vocal range kubwa sana,lakini pamoja na hayo yote ametolewa kwa kuwa na kura ndogo.swali la kujiuliza hv ni kweli kila mshiriki anapigiwa kura zote na watazamaji unknown au kuna wengine pamoja na kuwa na uwezo mdogo dhan others wana watu special wanafanya kazi ya kuwapigia kura? Nahisi kuna wengine wameajiri au kuwapa kazi watu spscial kwa ajili ya kuwafanyia kazi hiyo ili wasitoke nje ya bss na wawe washindi,its amusing kijana kama yule wa dodoma,a.k.a short shasis ameendelea kubaki,. Nimeona nyimbo moja ya wababa mtuka kaimba kabla ya kuingia bss,sijaona talent hapo.huyu hata akishinda namtabiria kuwa kama jumanne iddi.. No any revolution i can see in bss2012,nothing new than,jukwaa jipya na kambi mpya. Ni hayo wengine mnakaribishwa.
 
Yule wababa ni mtoto wa Lindi ameshawaloga judges hata akibolonga wanampa credits,ni kweli kabisa mkuu yule wababa akishinda itakua ni aina ile ya kina jumanne Iddi hawana talent ni ndumba kwa kwenda mbele,imeniuma sana kwa Norman kutoka seriously mpaka machozi yalinitoka
 
pale wanamziki ni salma na walter, wengine ni kina kizazi kipya wasiojua kupiga hata filimbi,
 
Yule dogo Walter namuangalia kwa jicho la tatu. Yuko vizuri sana!
 
nyie mpige kura siyo mnabwabwaja na kulalamika mshiriki unayempenda akitoka,pigeni kura kwa wingi
 
yule pimbi wa dododma ni stage performer a.k.a dancer

...watanzania lazima tulalamike kwa hili,kwanza inaonyesha kabisa majaji ndo wanaaribu haya mashindano,mfano salama jb anampenda sana yule dada ambaye anaimba taarabu na inaonyesha pale kipaji cha kuimba hakuna kabisa,master j huyo ndo utafikiri hajawahi kuwa na studio ya muziki,huyu ritta ndo hakuna chochote kabisa, napendekeza next time waajili majaji wengine na si hawa kila mashindano...hii ndo unakuta mtu kashinda m.50 anapewa 10 tu zingine wanagawana
 
unaonaeee,kuwa na majaii amabao hawaujui mziki,hajui key,,wala tempo yaaani anatumia nafaisi yake kwa kuwa yeye ndio mmiliki au kwa kuwa anasikiliza bongo flavor. Mj alitakiwa apate chalenge kama alizokuwa anapewa kipindi kile na majani pfunk.
 
Kiukweli NORMAN ni noma, ana kipaji na sauti ya pekee,Wamemtoa kwa makosa,Top 3 yangu ni 1.Salma 2.Norman 3.nsami/walter
 
kwakweli,ata
me
nnashangaa,coz
norman
alitakiwa
awe
top3,yan
wamenidisapoint
kuendelea
kuchek
ayo
mashindano,
na
ndio
wamenifanya
niamin,kwamba
wamemuandaa
mshindi,ambaye
ni,salma.
 
BSS ni wizi mtupu. Pale wanatafuta nani bingwa wa kukaririsha nyimbo za wenzake. Si vinginevyo.

Hawana jipya, hawana uwezo wa kuibua vipaji.

Inakuaje mtu hajui hata kushika gitaa, ashinde BSS!
 
Yule wababa ni mtoto wa Lindi ameshawaloga judges hata akibolonga wanampa credits,ni kweli kabisa mkuu yule wababa akishinda itakua ni aina ile ya kina jumanne Iddi hawana talent ni ndumba kwa kwenda mbele,imeniuma sana kwa Norman kutoka seriously mpaka machozi yalinitoka

Ndio maana hatuendelei...kwa hiyo kawaloga na watazamaji!...Message za watazamaji karibu zote ukisoma pale chini wanamsupport Wababa,kwa mitazamo ya hivi hii nchi kuendelea ni kazi ngumu sana...
 
Back
Top Bottom