Bongo star search 2015

Hahahahaaaa pole sana mkuu.
Huu mwaka tokea unaanza nilinuia utakuwa wa furaha,kumbe mtu ukiomba mambo yako mwaka mpya inakuwa kweli?

Jiandae kwa dissapointment kwahiyo moja iliyobaki.
 
Ukweli mchungu wabongo hawaangalii vipaji upepo unavoenda tu basi

Mkuu una akili sana...Afu namshangaa sana mtu kama master J anashindwa kutoa hata ushauri wa kitaalam jins ya kutofautisha kat ya kipaji cha muziki na kuweza kuimba/kuwa na sauti ya mziki....Nauhakika hata ukimwita master J pemben saiv ukamuuliza ni nani aliyestahili nauhakika hawez kumpa Cjui Kayumba uyo....Atakwambia tunatafta ulaji tuu...ila kiukweli yule jamaa wa gitaa ana kipaji cha mziki na nauhakika hawez kifa njaaa mjin kwa kipaji alichonacho,atakuwa very outstanding musician kama akiamua kufany mziki ajira yake...but sio yule dgo muimba taarabu,...Mung kamjalia sauti tu na uwezo wa kukariri mashair ya watu bas,Nothin else.....Wabongo wengi wako kaa bendera tuu....wanakipend kitu hata kama ni kibovu na bila sabab yyte....
BSS na team yake hovyo kabisa...
Good night wakuu
 
Nimejikuta tu leo nimempenda hatari, dogo anaweza haswaaaa na leo ndio nimenote, sikuwa serious na bss this year kihiivyo, hapa hali yangu ni tete mwenzio

Pole sana..nilikuwa nampenda Fonabo,lakini Kayumba nilimpenda zaidi siujui mziki kihivyo ila dogo yupo vizuri. Au labda na uchaguz wa nyimbo zinazopendwa pia umemsaidia.

Ugua pole Pacha.
 

Tatizo la bss na hata vtu vingi nchi huwa ni upepo watu hawa reason kabisa mtu kuimba heat song basi ndo mshindi. Wanahitajika ma judge professional aisee watofautishe to me fonabo aendeleze talent yake ikiwezekana aende mashindano makubwa ka Tusker hata akiimba live band anaweza sana tuu. Ma judge wenyewe ni vibendera
 
uyo kanumba ndo aina ileile ya jumanne iddy mtupu hamna kitu apo bss uswahili mwingi
 
Leo ndo ndo nimeamini bss upuuzi mtupu...mambo ya kijinga kama yale ndo yanarudisha nyuma maendeleo. Kipaji cha fonabo kipo wazi kabisa, inashangaza kuona bss wameleta kujuana. Nna uhakika fonabo atafika mbali sana kimziki
 
Show yote nimeikosa kwa sababu ya umeme,so saad...
 
Khaaaa yani bado kapresha kangu kapo juu since kayumba alivyotangazwa anaimba taarabu. Mtoto kajua kinisurprise na almanusura nizimie maana nilijua kashapoteza. Kumbe woyooooooo
 
So sad aisee judges walikua so biased since mwanzo that is a conflict of interest ndo maana waliingia na mshindi wao tangu mwanzo ukweli mchungu ni kua fonabo ali deserve kua winner kama kweli tulikua tunatafuta vipaji
Cc Heaven Sent
nifah
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la huu mchakato mshindi huwa anapatikana baada ya mchkato mreeeefu halafu mwisho wa siku hawajulikani wamepotelea wapi:A S angry:
 
Khaaaa yani bado kapresha kangu kapo juu since kayumba alivyotangazwa anaimba taarabu. Mtoto kajua kinisurprise na almanusura nizimie maana nilijua kashapoteza. Kumbe woyooooooo

Oyoooooooo!Nilipanga nilale hadi saa 3 lakini nikiwaza jana usiku usingizi unakata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…