Bongo star search 2015

Bora huyo Kev, Jackie sijui katafuna kizizi gani aisee yani haata sielewi
Nope dear, jack akitulia ana vocal moja tamu refer performance yake ya kanyimbe, tatizo hajajijulia asimame sehemu gani afu hana matashtiti ingawa jana nilimkoma kwenye taarabu. Kev ni msanii wa kawaida ila ni mjanja mjanja sana, ule ujanja utamsaidia sana
 
Hahhah kuna aslay pale kati, maromboso et al. Sipati pichaaaaa

Wanaweza lakini dogo anaweza sana. Yani akiimba hua nashtukia nakenua mwanzo mwisho halafu najishtukia kumbe sikua nimekaa yani najikuta kama nilichuchumaa flani kwe kiti. Teh dogo anakomesha.
 
Wanaweza lakini dogo anaweza sana. Yani akiimba hua nashtukia nakenua mwanzo mwisho halafu najishtukia kumbe sikua nimekaa yani najikuta kama nilichuchumaa flani kwe kiti. Teh dogo anakomesha.
Hahhaha tumpigie tu kura jamani, afu tumuombee yote ya kheri. teh nachekaga tu kanavyocheza
 
Mule mule yani me ningetupa kule huyo Jackie na Lupenza hapo anaingia mtoto mzuri Angelmary Kato na Doris
Lacute hujajua tu my dear, Lupenza ana sauti moja hataree. But nahisi lupenza ndo type za kina rich mavoko. Sijui ni nyota au swagga ndo Sielewi hapo
 
Last edited by a moderator:
Yeah... Mungu amfungulie nje jamani sio kwa kujua kule + ule mwonekano wa kipole na kanaonekana heshima zipo.
Kweli jamani kayumba ana kasura ka upole + kanaonekana kako humble sana. Nakapenda tu bure
 
Lacute hujajua tu my dear, Lupenza ana sauti moja hataree. But nahisi lupenza ndo type za kina rich mavoko. Sijui ni nyota au swagga ndo Sielewi hapo

Kwa watoto wa kiume kwangu ni Kayumba na Fonabo, then wadada kwanza Frida, Angelmarry alikua na Emmy Wimbo ila ndo hivyo tena.
 
Last edited by a moderator:
Kwa watoto wa kiume kwangu ni Kayumba na Fonabo, then wadada kwanza Frida, Angelmarry alikua na Emmy Wimbo ila ndo hivyo tena.
Fonabo anajitahidi kusema na ukweli afu anaonekana anawasaidia sana wenzie kwenye mazoezi. Emmy hata alivyotoka sikuelewa kwa kweli
 
Acha tu. Bora Doris kapata kazi Malaika band. Na bolingo anaziweza.
Eeeh Doris kwenye za bolingo ndo pake. Mungu awasaidie wote career zao za music ziendelee. Wanajitahidi Sana, sema ndo kura itabidi tu nimpe kayumba teh
 
Yeah...Safari hii naona wamekuja tofauti,nahisi itasaidia kama watakuwa serious

Walter ndo mshindi ninayemkubali zaidi miongoni mwa wote waliopita

Yeah, he is the best among all.
 
Jamani naombeni mwenye kujua ratiba ya marudio ya BSS aniambie maana umeme huu nina wiki ya 3 sijaangalia.
Vipi my dearest Kayumba Juma bado yupo?

Alafu nilitaka nikuite, yupo aisee
 
Kwa yule kiazi walter.wamuache tu Lile taji lilikua la Salma.

Hapana Walter ni mkali kuliko Salma, alibebwa tu kwakuwa alikuwa kipenzi cha ritha, ila walter mkali mnooo, sema kalikuwa kamepooza fulani kakaja kuchangamka mwishoni.
 
Well said, thats it.
 
Hapana Walter ni mkali kuliko Salma, alibebwa tu kwakuwa alikuwa kipenzi cha ritha, ila walter mkali mnooo, sema kalikuwa kamepooza fulani kakaja kuchangamka mwishoni.
Hahaha Walter alikuwa anakastyle anaimba wee afu anapeleka mbele kasura kake na kunyanyua kamguu

Boss salma hakubebwa, the kid is talented basi tu Walter ana nyota yake
 
Douta umenifilisi maneno hapo kuhusu Jack..Sina cha kuongeza
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…