Bongo star search 2015

Hivi yule mshindi wa shindano la mwisho la BSS EMMANUEL MSUYA yuko wapi?...Ana nyimbo yoyote ametoa ina hit??....
 
Naona Fonabo wetu ameshindwa na huyu mjanja wa uswahilini..ngoja nikalale zangu..vipaji havitendewi haki

TUKIENDA TUSKER tulalamika tunaonewa kumbe hatuna kitu sababu ya kuendekeza ushabiki wa ovyo

mtu anaimba na kupiga chombo BADO hamuoni Kipaji
 
Atakaye chukua hizo 50m nawaza jinsi watakavyo fuatwa na ndugu zao bila kusahau mademu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…