Bongo star search 2015

Kayumba pls imba ule wimbo wa Ada wa Mr. Flavour,ukiimba huu I swear wewe ndio mshindi....otherwise lolote linaweza tokea.
 
Yani we una kesi ya hudhurulaji haijaisha zen unaongeza mboyoyo nyingine..Tulikubaliana Kayumba ndo mshindi ama

Mweeeh! Kumbe ile kesi haijaisha jamani!!
Yaani kwakweli nimefall kwa fonabo ghaflaaa, this isnt totaly my fault, huyu mtu anajuaaaaa i wish i cud hv realized this earlier ningempigia kura.
 
Oyoooooo love mingi kwenu guys,wajuaga vile nakupendaga eeh?
One love.

Ananikosha sana coz huwa namfananisha na Barnaba hasa muonekano. Na ukizingatia Barnaba kwangu ndio mwanamuziki kiukweli kwa upande wa rika lake.
 
Kayumba atatoboa, nahitaji kumwona fonabo akichukua hela , thats ma wish
 
Mweeeh! Kumbe ile kesi haijaisha jamani!!
Yaani kwakweli nimefall kwa fonabo ghaflaaa, this isnt totaly my fault, huyu mtu anajuaaaaa i wish i cud hv realized this earlier ningempigia kura.

Ndo kwanza unaipalilia
 
Kayumba pls imba ule wimbo wa Ada wa Mr. Flavour,ukiimba huu I swear wewe ndio mshindi....otherwise lolote linaweza tokea.

Huo wimbo ni mgumu na pia ni wa taratibu sidhan kama utamsaidi hasa hatua hii ya final
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…