Bongo star search 2015

Angeimba wimbo wa Mr. Flavour bwana.
 
Kwa ubunifu wa kimuziki kete yangu ni kwa Fanabo, lakini kuimba copy ya kilichokwisha imbwa kete yaenda kwa Kayumba
 
Jamani jamani jamani mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia
 
Huyu dogo Kayumba huu wimbo hautamuangusha kweli

cc nifah
 
Last edited by a moderator:
Kafanya vizuri sana,sauti imetulia kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…