Bongo star search 2015

dah why awe na back up

who is kayumba to yamoto band?

why wasimtoe kimziki before?

Kayumba ni member wa yamoto band...ila hiyo sio sababu ya yeye kushinda..Juhudi zake ndo zitampa ushindi..Dogo anajua
 

tunatoa stress za siasa huku buanaaa!mbona unatukera lakini?!
 
sikuona sababu ya AIKA kuvaa hivyo viatu!vinamnyima uhuru kabisa
 
Nahrel stick to producing,you are not a good singer at all.:thumbdown::thumbdown:
 
Kayumba anastahili kabisa kushinda. Amejibeba mtoto wa watu since day one na hajuagi kukosea. Kujuana na kina fella kusije kukafanya eti anyimwe hela au waseme kabebwa. Mtoto wa watu amejua kusimama mahali pake sahihi, Amejibeba mnooo. Mungu amshindie
 
Kayumba ni member wa yamoto band...ila hiyo sio sababu ya yeye kushinda..Juhudi zake ndo zitampa ushindi..Dogo anajua

Mi naona ka ni member wa yamoto akishinda sio fair na sio haki kwa wengine na kila mmoja ana juhudi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…