Bongo star search 2015

Afadhali mwaka huu BSS wamezinduka
 
Huyu penny usoni kama ana malenge malenge.
Hivi wanapakaga nini??
 
Hapo kuna Arusha 2 na Dsm 1. Kayumba hapo kuchomoa ni ngumu.
 
Kayumba akaze buti maana hapa kabaki na mafundi watupu,natamani aimbe ule wimbo wa Adda wake Mr. Flavour
 
Acha asepe tu anajifanya mzungu kutamka vimaneno kwa english
 
mc katamka hapa kazi tuu, watazamaji wakagoma wakazungusha mabadilikoooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…