Bongo star search 2015

Uyu wasaivi Fonabo khaa sijui TV yangu mana hata simuoni vizuri
 
Nimeipenda perfomance na hata wimbo.....na tusubiri tuone.
 
Mmh best nifah mlie tu na Kayumba wenu, mshindi wa master J (kampa 160%!!!!) ni Fenabo
 
Last edited by a moderator:
Hiyo nyimbo angelmarry akiiweza nitamvulia kofia
 
Dadadadekiiiiii wallah huyu Mary kanimaliza!
 
Mbona wanarap za Joh Makin tu, wapi Fid?
 
Angel hiyo mix ni soo na unamuumbua Joh kimtindo.. #Stimu zimelipiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…