Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,069
WE MZEE,mbona mnaishusha hadhi JF,naamini maadam wewe ni member humu unaweza tofautisha pumba na mchele.hiyo ni reality show na 90% ni STAGE MANAGED lengo ni watu kama wewe mpige kelele hili watu wakachungulie.people like you ndio mlikuwa mnamuona HULK HOGAN ni wrestler mkali wakati all along matokeo yako fixedSon of Alaska,
Hebu na wewe tukana uone kama utasalimika. Ustaarabu ndiyo utamaduni na jadi yetu waTZ, lakini kwa staili hii mhh!!!
Wanajamii,
Kuna mifano kama miwili iliyojitokeza juzi ..moja kwa mwanadada na wa pili kwa mwanakaka .. walilalilishwa kwa kweli.
Mwanadada: Aliimba kwa kadiri ya uwezo wake. Wakati wa majaji kutoa comments zao .mmoja alidiriki kumwambia huyu dada hawezi kuimba anachodhani anaweza aende akazae tu Hii maana yake nini? Ndio kujaji kweli? Halikadhalika;
Mwanakaka: kama alivyofanyiwa mwanadada naye kaambiwa akatafute ma sugar mummy kwa vile alikuwa smart Mtanashati ..inatisha
Sikuweza kujua kama kweli huyu Jamaa ana akili nzuri. Naomba nimtaje tu kwa sababu nia ni kumrekebisha na si kumsema vibaya. Ni kati ya wale majaji watatu anajiita P Funk. Mimi Binafsi na labda baadhi ya waliobahatika kutazama kipindi kile hafurahishi kwa comments zake. Anajaribu kuwe critique kama alivyokuwa Salama Jabir lakini si ki-hivyo. Ajaribu kuwa yeye asifanye vitu kwa kuiga lazima ataharibu.
Naomba tujadili hili kwa busara kwa ajili ya kuboresha kipindi vinginevyo sijaona maana yake kama hali itaendelea kama hivi. Umaarufu usiwe kero .
I think to them is another way of entertaining the viewers. Creativity ya kipindi Zero, Majaji mhh labda Dada Rita na Mzee Kitime lakini hao wala ndumu, mibangi inachemka kwa kichwa. Basata na MSI wamelala wapi au mpaka siku akashifiwe mtoto wa mnene ndio washituke? na wadanganyika wenzangu twapenda short-cuts na uvivu, kwani kazi lazima kuimba? na kama kuimba lazima kaimbe kwa church au hata kwenye kwaya za kisiasa tu. Wenye busara wamekaa mbalii na hiyo Bange Star Search.
Yule judge wa mwaka jana sijui yuko wapi this time John Kitime.
Muda mchache nimetoka kuona wimbo wa mshiriki mmoja wa BSS enzi za j4, anaitwa mrisho wa kigoma, alikuwa konda. Wimbo mtam sana na utashika chati. Hofu yangu, mbona BSS inatoa wasanii wazuri sana lakini wanapotea? Wapi roja, misoji, yule jamaa mwenye sauti nyembamba na tam. Wako wengi tu. Wanakwamia wapi? Faida ya BSS iko wapi? Wanashindwa wapi? Hoja iko mezani, wadau
kama wadau hatuna hoja ujue ndo ivo tena.
tumebobea kujadili ufisadi na kujiexpress mkuu.
ila kama unataka komenti yangu ni hii hapo.
BSS hakuna jipya, ni chariot chasser tu wala hakuna sustainability. Kwa mimi ambaye nina uzoefu na programme za utamaduni naweza kusema kwamba hizi prog za BSS, Kili Awards, Cheza Tanzania na zingiezo ni ulaji wa wachache na kutafuta umaarufu ambao hapo baadae utatumika ktk siasa za bongo.
Jumanne alishindishwa ingawa mkali halisi alikuwa yule jamaa wa mwanza. na tuseme nimjuavyo misoji angeweza kutoka sana tu ktk miezi sita ya kwanza baada ya ushindi ila wapi hakuna kitu. Rojas alipaswa kushinda ila alipata upinzani mkali kutoka kwa misoji lakini pia angewezeshwa kutoka pia. Ila ninachoona hapa ni endapo mikataba baina ya wanaoingia kumi bora na kampuni ya benchi la alama ingepitiwa na wanaofahamu mikataba ya kisanii (cosota) kungekuwa namwendelezo fulani chanya.
Umetaka mchango??? ndo huo sasa

Mkuu kuna kuchukuliwa kwa aina nyingi hebu elezea hapa. Isije akawa amechukuliwa na huyo shabibi na sasa anamlelea mtoto wao wa ndoa teh teh tehNasikia yule mwimba Taarab alichukulwia na Mzee Yusuf, ni kweli?
...and politics is more than LIFE (angalizo: Kolimba, Moringe, Mwaikambo, Chifupa et all)nimekupata, mkuu na maoni yako, ila siasa zisifanye tukasahau upande wa 2 wa sumni kwani life is more than politics