Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

sasa wanaongelea kuhusu kikwete alivyoboronga kwenye madawa ya kansa ya shingo la uzazi.
jamani hivi mwafrika wa kike alipoteleaga wapi?
 
Bidada yuko right....sasa hivi hamna dawa mahususi ya kutibu malaria.....hii dawa mseto ni balaa balaa mbaya kudadadeki watoto wanakuwa walemavu ni kama sumu kabisa lakini nashangaa ile mijamaa inakuza vitambi vyao pale wizarani......

.....afu aibu sana mtu kama profesa mwakyusa daktari bingwa lakini anakuwa punguani namna ile.....
 
wewe nawe tumia ubongo wako.
 
shule zinazojengwa ni kwa michango ya wazazi.... yaani watu wanatoa kodi lakini inapokuja kwenye shule, wanaulizwa tena kuchangisha..... hii ni double taxation
 
Nyani Ngabu atapiga simu tu .... subiri
vijisenti.jpg

Nina hasira mimi.......
 
Mr, Mushi kutoka Ohio..aikambe!
Namwambia mama yako SLAA atakuambia, baba yangu huwa haongei na Machoko.
Ofcourse...Hutaki tutuoe maoni?Halafu nashangaa why mods wanakupa nafasi ya kumwaga matusi humu bila kuchukuliwa hatua yoyote.
BTW una chuki sana wewe,za kidini na kikabila...
 
ahahah! haya mambo ya picha kma hizi mwafrika naye anayaweza kinoma
mkuu ungekuwa unawaona watanzania huku ungelia.......juzi nimekutana na bibi mmoja katupia fulana ya ccm na kepu la njano kudadadeki na kanga ya ccm...anakuambia yeye ni ccm tu kwasababu wapinzani wataleta vita....
attachment.php

watz bana....
 
kapiga simu jamaa kutoka moscow huko kweny mabarafu huko
guys hakuna mtu kutika hapa Tanzania .. mazee ningepiga sema mambo ya credit mazee:dance:
 
Mwanakijiji umeweka watu kibao sana kwenye line... jaribu kuwarudia basi
si unajua tena minutes zinakwenda....lol
 
kapiga simu jamaa kutoka moscow huko kweny mabarafu huko
guys hakuna mtu kutika hapa Tanzania .. mazee ningepiga sema mambo ya credit mazee:dance:
wengine kama bahati tupo...wenzetu wanatusubiri Rose garden bar....
 
Ofcourse...Hutaki tutuoe maoni?Halafu nashangaa why mods wanakupa nafasi ya kumwaga matusi humu bila kuchukuliwa hatua yoyote.
BTW una chuki sana wewe,za kidini na kikabila...

Huyo burn ndio zake hizo, mods wanamuogopa sana
 
Ofcourse...Hutaki tutuoe maoni?Halafu nashangaa why mods wanakupa nafasi ya kumwaga matusi humu bila kuchukuliwa hatua yoyote.
BTW una chuki sana wewe,za kidini na kikabila...

ni kweli ninachuki sana na kabila lako tena na dini yako,natamani ungekuwa karibu.
 
Back
Top Bottom