kiongozi una wahesabu vipi hapo mi naona wako zaidi!!maana kuna watoto wawili,kwenye ndoo na mgongoni!!kule mbele wako watatu na hao wakubwa watatu,na huyo aliyebeba mtoto naona kama wako tisa!
na huyo wa kwenye ndoo ni maji au maziwa.wapo nane hapo mkuu...hiyo ndio profile photo yangu
kidogo iwe watu8
na huyo wa kwenye ndoo ni maji au maziwa.
umehamaki sana nilielewa ila lengo lilikuwa kujoke tu,hata hivyo za asubuhi.1. Tofautisha kati ya Profile Photo na Avatar (picha niliyoitolea ufafanuzi ni Profile Photo na ndiyo iliyowekwa hapa jukwaani na MziziMkavu
2. Picha iliyowekwa na mkuu Dotworld haifanani na ninayoitumia kama avatar kwa kuwa ina watu 9 na avatar yangu ina watu 8.
Sasa kwa kuwa hujafuatilia kwa makini nilichokuwa nikichat na Zamaulid, nilitarajia tu kuna watu wataokurupuka kama wewe...
Kwa hiyo hapa nani ni dereva!
Mkuu umenichekesha sana!Picha ya MziziMkavu ina watu8, ya Dotworld ina watu 9...na avatar yangu ina watu8 hakuna mtoto kwenye kisadol
Mkuu this is very strange in our country!frankly speaking sijawahi kuona!
BONGO IPO UPANDAJI KAMA HUU JAMANI?
Jamaa haurumii watoto aliowapandisha.
umehamaki sana nilielewa ila lengo lilikuwa kujoke tu,hata hivyo za asubuhi.
na huyo wa kwenye ndoo ni maji au maziwa.
Wenyewe wanasemaga punda afe mzigo ufike!Boda boda wameifanya kama Noah kwa hiyo idadi ya watu af hamna hata mtu alyevaa helmet, too risk..
Mkuu duniani ni mahali pa mapambano hakuna kuoneana huruma!Jamaa haurumii watoto aliowapandisha.
mzima kama chuma.hahahah...haya bhanaa! salama tu mkuu
haya mkuuLazima litakuwa ni toy!!