Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,848
Jamaa haurumii watoto aliowapandisha.
nani anaye endesha hapo!!!
Asante best...nimekumisije!!
kiongozi una wahesabu vipi hapo mi naona wako zaidi!!maana kuna watoto wawili,kwenye ndoo na mgongoni!!kule mbele wako watatu na hao wakubwa watatu,na huyo aliyebeba mtoto naona kama wako tisa!wapo nane hapo mkuu...hiyo ndio profile photo yangu
Hii ni ​watu8
BONGO IPO UPANDAJI KAMA HUU JAMANI?