theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
movie zote za kanumba jamaa alikuwa anajua kwa kweli may his soul Rest In Peace.." jamaa kafa na bongo movies
Hii haitakaa isahaulike enzi hizo kwenye VHS
Kipindi Bongo movie ipo katika ubora wake, Dar 2 Lagos ndio movie iliyonivutia haswa na kufanya nishawishike kuinunua na inabaki movie pekee ya kibongo kuinunua.
![]()
Je wewe ni movie gani kutoka Bongo ilikuvutia?