Bongo Movie ipi ilikuvutia enzi za Ubora wake?

Kama wanapenda
Ninunulie zeezee
Nikilala kitandani
Zeze lanibembelezaaaa

Khakhaakhaa kumbe ulikuepo huku miaka hiyo!!! Safi sana
kama wanipenda kaninunlie zeze nikilala kitandani zeze la lanibembeleza mateso moyoni usiku silali, hadithi sitaki nataka zeze, penzi lako la thamani, mtanashati jamani usiku silali nakupenda zezeee, kama

Kama wanipenda kaninunulie zeze (ooh nooo) nikilala kitandani zeze lanibembeleza (huu yeeee)

kama wanipenda kaninunulie zeze nikilala kitandani zeze lanibembeleza, machungu sitaki, zeze langu silapati, mapepe sipendi, penzi langu burudani, niwapo kitandani zeze langu maanani, zeze langu maananiiiii kama wanipenda(wanipenda) kaninunulie zeze (ooh noo) nikilala kitandani(mmmh), zeze langu lanibembeleza (uuwww yeeeee) ooh yeee oohh yeee sitakiiii, sipati, sitakii sipendiii uuu yeeee nasema tena sipendi burudani (burudani) kitandani oyeeee., manani manani

(JMO)
aah ahh mpenzi zeze sema vp basi kama unanikata, mpenzi zeze kabla hijawa balaa, usinilete maposi njoo kwa mwanasanaa, punguza goz goz machizi watakushanga, kama unanipenda njoo uniimbie lala bai, njoo upige zeze tupati tuwe hai wanga wakisema nadhani usiku watalala, zeze anapigiwa mjanja, zeze apigiwi fala, kama unanipenda kaninunulie si hatari kama uko tayari twende home tujivinjari, J mo na TID ndani ya sauti ya dhahabu ni soo ongeza biidi wewe kwangu kama wanipenda kaninunulie zeze (ooh nooo) nikilala kitandani zeze lanibembeleza (huu yeeee)
 
Dahhhhhhhhhhh Wee mkareeeeeeeee
Ni noumaaa . Huvumi lakini Imoooooooooooooooooooooooooooo
Hahaha that's Smart911 beibii
 
Nilivutiwa na movie ua Sabrina alicheza Monalisa na JB kama sikosei na nyingine Mahbuba alicheza Rich rich na Rose Ndauka.
Naona uzi umegeuka wa mahaba ...da ndimu hizi
 
Crazy love ya kanumba na hemedi , yellow banana ya ray, Oprah, devil kingdom. Ila baada ya kufa kwa kanumba mzuka wa kuangalia bongo movie nao ulikufa.
 
Kanumba ni kama alikufa na bongo movie,maana hata wale walioonekana kumfuatia kama Ray nao waliacha kabisa kufanya movie za kiwango walichofanya kipindi Kanumba akiwa hai!

Ukiangalia movie za Ray wakati Kanumba akiwa hai na ukalinganisha na hizi anazocheza sasa utaona ni jinsi gani ameshuka!
 
Ile movie inaitwa ZERO starring bashite ..ilikua na mpangilio bomba sana kuanzia ngada hadi kuvamia studio..hawa ndo watunzi wa movie kali kuwahi kutokea bongo
 
Sina stimu na Bongo movies kabisa! Bora niangalie marudio ya game game ya Sunderland na Ipswich Town
 
The sartuday morning. Ya kanumba
This is it. Kanumba
White maria daaa niliipenda sana
 
Back
Top Bottom