Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,819
- 40,602
Umesahau jini anaangalia uku na uku ili avuke barabara.Mi siikumbuki jina ila ni ile ambayo majambazi yanavamia nyumba kuiba lakini yanavua viatu nje... afu mbele kidogo kuna jini likawa linamfukuza mtu, lilipozidiwa speed likakodi bodaboda.
Bongo movie si za kispotispoti... maana hata walinzi getini lazima wawe bongo za kichina zilizochanganyika na za kiTaiwan.