NEW#NEW#MOVIE Bongostar Flix
DALALI WA MAWAKA,ATAPELI NAKUINGIA MITINI.ANGALIA KIUNDANI MBINU ZAKE ZA KITAPELI NA UDALALI.
Ni movie mpya ya kiswahili ambapo bwana chai ni tapeli anaejifanya kuwa wakala wakusafrisha vijana kwenda arabuni kufanya kazi wanalipa pesa na kuishia kutapeliwa, Dor anaetaka kumsaidia mpenzi wake Chid asafiri nae anajikuta akitapeliwa kwa kuambiwa kuwa mzee huyo amefariki kumbe yupo hai, fatilia zaidi movie hii nzuri likiwemo penzi zito la Dor na Chid.
ACTORS/CAST:OGU NGARA CHARLES, MARION AFANDE, JUMA MWATSEKA, REHEMA RAJAB
PRODUCER:BI ASHA ATHMANI
MOVIE MPYA 2018 YENYE VISANGA VYA MAPENZI NA USALITI NIZKIWE HAI PART 1.
BONGO STAR FLIX HD CHANNEL..BONYEZA LINK AND ENJOY.
Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.
1. Bofya link hii hapa
Bongostar Flix
2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.
3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.
4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.