Tukishamaliza ugomvi wa Gesi na mafuta!
Yani hii inaanzia pale msimbazi, kibonde mpunga, wakimara na chalinze wanachukua T1, wa magomeni, manzese, ubungo T2, wanaogeukia upanga kurudi mjini na kariakoo T3, Siku inakuja isiyokua na jina. Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake.
Siku tutakapoamua...
Maana yake ni kwamba tutafikia hatua hii hapa kwenye picha ...!!!Huo mkeka unawezekana kama tutakuwa na viongozi wenye uchungu na usongo wa maendeleo. Tatizo tulilo nalo sasa ni kuwa na watawala wenye tabia za kipanya panya ambao wana usongo na kudokoa na kutumia na kutumiwa. Pesa iliyofichwa Uswisi na inayotoroshwa na wawekezaji na maponjoroi inatosha kujenga ndude kama hizi kumi. Simpo.
Wakitoka tu Wezi MAGAMBA KAMA WAKINA MIGULU NCHIMBA halafu mm nikawa waziri wa UJENZI zitakuwepo kila mtaa hizo!