Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,255
Hivi kwa nini sasa hivi kila media ina wachambuzi wengi wa soka? Kipindi kimoja wachambuzi 8?
Kuanzia asubuhi, mchana na usiku kote Kuna vipindi vya uchambuzi. Kuna redio moja kipindi cha lisaa limoja kuna wachambuzi 8
Kuna media nyingine kuanzia saa 3 asubuhi ni uchambuzi, saa 5 kwenye kipindi kuna uchambuzi, saa 9 kipindi cha muziki napo wana uchambuzi, saa 1jioni Kuna uchambuzi, na saa 3 usiku wana uchambuzi tens masaa mawili, Hadi saa 5 usiku wao wanachambua tu. Alafu wote ni watu tofauti
Alafu wachambuzi wote ni lazima watumie kiswaenglish. Bila kiswaenglish unaonekana hujui uchambuzi.
Alafu wote huwezi kuwasikiliza bila kusikia haya maneno:

- back four, back three
- transition
- high line
- diagonal pass
- box to box
- diamond shape
- lonely striker