Bongo: Kaeni Mkao wa Kula

Hawa sio wale wanaotumalizia Tembo wetu kwenye hifadhi za Taifa kweli?
 
Askari toka lini akavaa kandambili?

Hawa sio askari bali ni Mgambo.
Mpiganaji yeyote aliyeajiriwa na serkali/mamlaka rasmi huitwa askari (soldier)
Mpiganaji yeyote aliyeajiriwa na kikundi cha waasi kuitwa Mgambo (militia).
Kwavile vikundi vya waasi mara nyingi uchumi wao sio mzuri huu saghalabhaghala.

Bazazi!
 
Wanawinda Ndezi hawa tusidanganyane.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…