Bongo Hip-hop finest lyrics.

Bongo Hip-hop finest lyrics.

Usiniite half man/niite man in a half
As u think small remain small for life/ hatuwezi piga same instrument but we can be in the same key son/ experience makes better or bitter/ naweza flow small lakini brain ina speed

FID Q in CNN
 
Ukitaka wako peke yako labda umuumbe mwenyewe/au kata mgomba uufiche mtaani usishindaniwe/ kumegewa jambo moja/kukimbiwa ushafkiria?/sio kila demu umuonae unaweza kuoga

Mwana FA
 
Ninahisia kama ninasikiliza ragga/
Nipo ready/
Kuflow hata kwenye beat ya madebe/

By makalla
 
Aliniambia...mengi ya kuchunga kama stendi ya abiria kwa wafungwa/ mchizi sikusoma nae tulikutana tu ukubwani/ udogoni sikucheza nae lakini ndo mchizi wangu wa ukubwani/
Hakufurahi nilipoanguka alipenda nikamate laini/ so inabid wanibanie ili ma mc wengine wa-shine
 
Nmekuja na mkuki
Nataka kuutoboa mwamba/
Wakati wenye bunduki
Mbele yako wameshandwa kutamba/

By baba malcom
 
..Nina kiraruraru Cha kuchana na stamina sija-loose
..Waruwaru na mchuzi na unga nakaringiza
..Confuse mapunga na masharobaro wanaigiza
..Kiuno katakata kama rais wao Mimi nakata viza

[HASHTAG]#Nikki[/HASHTAG] wa pili
 
Sisi ndiyo mlab brother kaka/ Timba tutimbe kama guitar kwenye same club motherfucker/

By Baba malcom
 
Nisamee sometimes nakufuru Jah/
Vile Kujifanya nimepinda na kuvurugwaa/

By motra
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom