kuhusu ma-train ya bongo sijui kwakweli! kwani mie sio wa 'reli ya kati au tazara', lkn kama hayatumii steam engines sijui, otherwise yatakuwa yanatumia diesel engines. all apply the same principle! the difference is steam and diesel!
bora umekubali kwamba wewe ni fundi ujenzi! ndio maana hujui hata volume ya engine ni ipi! siajabu utasema volume ya engine ni area x distance haha! anyway, nimekufurahia sikonge kwani unapenda kujifunza, big up sana!
Basics first : Maji, Umeme, elimu bora, kuacha ufisadi... t
We know that;
PV = nRT
Also engine volume (cylinder volume) is V = 3.14 (r square) h,
Whereby h = distance between the TDC and the BDC, and r = radius of the cylinder
Note: This volume can be multiplied with the number of cylinders to obtain the total volume.
So, the above relationship can be written as;
3.14 P(r square) h = nRT
Well, about Heat and engines, huh! Thats very wide topic, Im sorry because I cant type it here. The fact is it depends upon which thermodynamic cycle in question. Each thermodynamic cycle is different from the other. So, its a very wide subject. The basic formula is PV = nRT, pressure, volume varries with time while T is constant.
Also, Internal energy, U = H - W,
whereby, U = U2 - U1, change in internal energy
H = heat
W = workdone, it can be; PdV + VdP (depending upon the variation);
so, about heat mkuu hapo ni somo 'pana' sana!
Basics first : Maji, Umeme, elimu bora, kuacha ufisadi... t
mkuu,Mkuu,
Hiyo niliiona wakati natafuta hiyo formula ila sikuielewa. Jamaa ameingia mtini na kaweka diferential ya P and V only na upande wa pili T kasema iko complicated. Na kwenye maelezo kaweka IT CAN BE.
Mwisho na wewe umeandika kuwa "ni somo pana sana", yaani umecopy maelezo ya jamaa bila ya kuongeza ya kwako hata moja. Uelewa wako katika hili uko wapi? Anyway, naona hata wewe hapa ni mweupe. Itabidi nikikutana na jamaa yangu mmoja nimwuulize anishushie uhusiano wake. Kama utahitaji basi naweza kuja kukupatia hilo jibu hapa.
Nasema hivi, watoto wanasoma kwa kuketi kwenye vumbi - hawana madawati, wagonjwa wanalala sakafuni - vitanda hakuna, maji shida, umeme ndio hivyo... Mbona unakwenda mbali sana?
sasa unataka mimi nifanyeje na masuala hayo uliyoyataja? nenda serikalini kawaeleze kwani wao ndio walioshika 'mpini'Nasema hivi, watoto wanasoma kwa kuketi kwenye vumbi - hawana madawati, wagonjwa wanalala sakafuni - vitanda hakuna, maji shida, umeme ndio hivyo... Mbona unakwenda mbali sana?
hilo nalo neno! asante! nadhani amekuelewa!Mkuu,
Wakati akina Newton wanafanya uvumbuzi wao, si ajabu walikuwa na hali mbaya zaidi kuliko kwa sasa Tanzania.
Nyie endeleeni tu kulia na hizo mimba na maji. Wengine inabidi waende shule kali saana ili kama watakuja na solution nzuri, wataleta mashine zitakazoweza kujenga hospital, kutengeneza magodoro, vitanda, nk.
Kama wote tukikaa na tuanze kulia, hiyo kesho itakuwa mbaya sana. Na mwisho wa siku, watu wanaodeal na mambo haya ni wachache sana. Angalia Masanilo alipoweka makala ya DNA, watu hawakuchangia kabisa. Ndivyo dunia ilivyo. Wakati wengine wanaosha macho na kuona no NDOTO, wengine tunajadili wanatengenezaje na kwamba hata sisi tunaweza na si ndoto. Kama watu wangelipata suport, basi tungelifanikiwa.
Nitafuatilia kwa ukaribu zaidi mkuu, asante sana.Kwa haraka haraka ni kweli. Ila haikunifurahisha sana sana na kuacha kiu yangu.
Hii thread watu wameigwaya kama ukoma. Sawa na mambo ya DNA alibaki Masanilo peke yake na nilibaki napata shule ya bure peke yangu.
Mkuu, kama uko bado shule au una hamu ya kusolve hilo swali kirahi, basi ningelikusihi ujaribu kusoma hii kitu inaitwa "Theory of Plasicity and Elasticity". Na huko unaweza kwenda moja kwa moja kwenye hii formula hapa chini.
Imekaa kama ni ya UJENZI, ila unapo-intergrate na kuweka boundary value problem wakati umei-intergrate, utasolve hilo swala kwa urahisi sana hasa utakapotaka kuweka na heat. Nafikiri aliyeandika kwenye Wikipedia (hapo ulipo-copy) alitoka nje kwa sababu haifahamu hiyo theory juu. Jitahidi usome.
The Euler-Bernoulli equation describes the relationship between the beam's deflection and the applied load:
<dl><dd></dd></dl>The curve u(x) describes the deflection u of the beam at some position x (recall that the beam is modeled as a one-dimensional object). w is a distributed load, in other words a force per unit length (analogous to pressure being a force per area); it may be a function of x, u, or other variables.
Note that E is the e;astic modulus and that I is the second moment of are. I must be calculated with respect to the centroidal axis perpendicular to the applied loading. For an Euler-Bernoulli beam not under any axial loading this axis is called the neutral axis.
Often, u = u(x), w = w(x), and EI is a constant, so that:
<dl><dd></dd></dl>Mkuu, hii formula hapa juu, utasolve kila kitu. Hapa kinacholeta shida ni kujua tu zile boundary conditions. Kwenye ujenzi zipo nyingine na ndani ya engine zitakuwa nyingine ila formula inabaki ile ile. Ukifahamu utakuwa mgonjwa wa computer ila tatizo lake inabidi uelewe sana Vectors, Mahesabu, physics pamoja na FEM (finite-element method). ukiifahamu hii, wewe unapeta sehemu nyingi sana. Usisahau wenda WIKIPEDIA kumsoma mama Sophia Germain.