Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Ndio nyumbani mpenzi!!Yaani watu wanavohangaika kutafuta rizki duh....tz baso ipo nyuma sana
Ndio nyumbani mpenzi!!
Ha ha ha umenichekesha we mtoto?unaogopa nini kuumwa na mbu?Naogopa hata kurudi lol
Ha ha ha umenichekesha we mtoto?unaogopa nini kuumwa na mbu?
watu mna uzoefu nasubiri mwenye vitunguu aje afungukeKariakooo!!
Ha ha ha pole mwaya!!Hhahahaha waliniuma sana tu hapo mwanzo lol wanipumzishe mie now
We kwani huna uzoefu?watu mna uzoefu nasubiri mwenye vitunguu aje afunguke
ninao ila mpaka mnafaham maeneo nyanya imekanyagwaWe kwani huna uzoefu?