gmosha48 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,399 Reaction score 1,482 Jan 23, 2013 #2 Gesi kwanza maisha baadae!
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,457 Reaction score 5,322 Jan 23, 2013 #3 Nimependa hao mabinti maana wapo original!
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jan 24, 2013 #4 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Hiyo ya juu ni Zenji, mzee ameila chumvi huyo! (tofautisheni na kuzamia chumvini)
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Hiyo ya juu ni Zenji, mzee ameila chumvi huyo! (tofautisheni na kuzamia chumvini)
mika kati Senior Member Joined Dec 2, 2012 Posts 135 Reaction score 44 Jan 24, 2013 #5 Huyo madevu ni baba mkwe wa fulani,
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Jan 24, 2013 #6 Sasa ulogwe.......umwambie huyo mzee unataka kununua bidhaa zake zote......mbona utamfehemu........
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,051 Reaction score 2,462 Jan 24, 2013 #7 Ngekewa said: Hiyo ya juu ni Zenji, mzee ameila chumvi huyo! (tofautisheni na kuzamia chumvini) Click to expand... Shida tu mkuu, wala hajala chumvi yoyote. Aana miaka 45 tu. huyu
Ngekewa said: Hiyo ya juu ni Zenji, mzee ameila chumvi huyo! (tofautisheni na kuzamia chumvini) Click to expand... Shida tu mkuu, wala hajala chumvi yoyote. Aana miaka 45 tu. huyu
Bandabichi JF-Expert Member Joined Jun 3, 2012 Posts 230 Reaction score 42 Jan 24, 2013 #8 kweli bongo tunaganga njaa, sidhani hilo genge vilivyomo hapo juu vinazidi hata Tsh 5000/=
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Jan 24, 2013 #9 Mzee amekata tamaa utafikiri hana uwezo wa kuleta mabadiliko.
Ng'wamapalala JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 6,811 Reaction score 6,506 Jan 24, 2013 #10 Hivi maisha ni nini?............Maisha yako vipi na yanapatikana wapi?. Tusije tukawa tunadanganywa na akili na hisia zetu kumbe maisha ni vyovyote vile, yako sawa na yanapatikana popote pale.
Hivi maisha ni nini?............Maisha yako vipi na yanapatikana wapi?. Tusije tukawa tunadanganywa na akili na hisia zetu kumbe maisha ni vyovyote vile, yako sawa na yanapatikana popote pale.
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jan 24, 2013 #11 enhe said: Nimependa hao mabinti maana wapo original! Click to expand... Mkuu naona unapenda vitu natural zaidi!
enhe said: Nimependa hao mabinti maana wapo original! Click to expand... Mkuu naona unapenda vitu natural zaidi!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jan 24, 2013 #12 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Nahisi harufu ya al shabab na al qaida!!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jan 24, 2013 #13 Ndibalema said: Mzee amekata tamaa utafikiri hana uwezo wa kuleta mabadiliko. Click to expand... Hana uwezo wa kuleta mabadiliko kwa kuwa hajaandaliwa vizuri kufanya hivyo!
Ndibalema said: Mzee amekata tamaa utafikiri hana uwezo wa kuleta mabadiliko. Click to expand... Hana uwezo wa kuleta mabadiliko kwa kuwa hajaandaliwa vizuri kufanya hivyo!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jan 24, 2013 #14 gmosha48 said: Gesi kwanza maisha baadae! Click to expand... Mtu yeyote anayelinganisha uhai wa binadamu na gesi lazima atakuwa na matatizo ya akili!
gmosha48 said: Gesi kwanza maisha baadae! Click to expand... Mtu yeyote anayelinganisha uhai wa binadamu na gesi lazima atakuwa na matatizo ya akili!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Jan 24, 2013 #15 Preta said: Sasa ulogwe.......umwambie huyo mzee unataka kununua bidhaa zake zote......mbona utamfehemu........ Click to expand... Ukifanya hivyo ujue kaburi linakwita!
Preta said: Sasa ulogwe.......umwambie huyo mzee unataka kununua bidhaa zake zote......mbona utamfehemu........ Click to expand... Ukifanya hivyo ujue kaburi linakwita!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Jan 24, 2013 #16 Preta said: Sasa ulogwe.......umwambie huyo mzee unataka kununua bidhaa zake zote......mbona utamfehemu........ Click to expand... Ununue zote afu yeye auze nini!!?? una utani wewe
Preta said: Sasa ulogwe.......umwambie huyo mzee unataka kununua bidhaa zake zote......mbona utamfehemu........ Click to expand... Ununue zote afu yeye auze nini!!?? una utani wewe
Tech_JanjaNinja Member Joined Jan 23, 2013 Posts 9 Reaction score 1 Jan 24, 2013 #17 Ng'wamapalala said: Hivi maisha ni nini?............Maisha yako vipi na yanapatikana wapi?. Tusije tukawa tunadanganywa na akili na hisia zetu kumbe maisha ni vyovyote vile, yako sawa na yanapatikana popote pale. Click to expand... Hahiyo ndo tafsiri kamili ya maisha..Ni vile unavyo yaweka/ishi.
Ng'wamapalala said: Hivi maisha ni nini?............Maisha yako vipi na yanapatikana wapi?. Tusije tukawa tunadanganywa na akili na hisia zetu kumbe maisha ni vyovyote vile, yako sawa na yanapatikana popote pale. Click to expand... Hahiyo ndo tafsiri kamili ya maisha..Ni vile unavyo yaweka/ishi.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Jan 24, 2013 #18 Usitudanganye manake hatudanganyiki! Nimependa hao mabinti maana wapo original! Click to expand...
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jan 24, 2013 #19 enhe said: Nimependa hao mabinti maana wapo original! Click to expand... hasa huyu wa mwisho nimependa chuchu zake tu..
enhe said: Nimependa hao mabinti maana wapo original! Click to expand... hasa huyu wa mwisho nimependa chuchu zake tu..
Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,653 Jan 24, 2013 #20 TUKUTUKU said: Nahisi harufu ya al shabab na al qaida!! Click to expand... Mbona Yesu alikuwa nazo kama hizo au hukuona ile sinema yake ?!
TUKUTUKU said: Nahisi harufu ya al shabab na al qaida!! Click to expand... Mbona Yesu alikuwa nazo kama hizo au hukuona ile sinema yake ?!