Bongo fleva beat - FL STUDIO

Bongo fleva beat - FL STUDIO

Naona Gurta amekuwekea hapo juu,usikilize halafu leta feedback

Mkuu nimeisikiza mara tatu lakini sijasikia kufanana kwa aina yoyote ile labda iyo sound ya china.... ile upangaji wake ni tofauti kabisa..
 
Nimeipenda idea ya beat pia mixng ya Kasu ipo pouwa. Mkiendelea kubadilishana idea kasu na magnfco mtafanya kitu kikubwa sanaaa....
 
Nimbejaribu kutengeneza Bongofleva beat kwa software ya Fruity loops....

Unaweza ukaisikiliza hapo chini na kunipa comment zako...

bro ninayo fl studio but n functionless je naweza pata key zake nam nijichanganye nayo coz napenda sana mambo hzo please n pm..
 
Back
Top Bottom