Bonge la suprise

Bonge la suprise

"Baby ndio nakuja nishukie wapi??"_??Masela tujuzane huwa unakuwa katika hali gani baada ya kupata sms hii kutoka kwa demu wako????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


Sent using Jamii Forums mobile app
Kana ni dem mpya bas ntaanza kufagia ndani humo na kudeki nakupanga kilakitu mahali pake.

Lakini kama ni dem mkuu kuu sifanyi chochote atakuja afanye yeye izo kazi.
 
Dah!!..mie nakuwaga kwenye khali fulani hivi ya kushiba hata kama nina njaa

Tena ukute mtoto ndo mara ya kwanza aje mgegede na unamwelewa pia

Hapa nilipo nasubiria sms ya hivyo kutumiwa maana kuna mtoto anatoka Tabora To Mwanza

Muda huu anahesabu kilometa tu na ndo mgegedo wa kwanza

Nimejipanga vya kutosha kukabiriana nae



"Enough of No Love"
Hiyo ni madhara ya kupata K kwa manati

Sent by Diaspora
 
Back
Top Bottom