Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,322
Nimefurahi kusikia kama upo buheri wa AFYA mpendwa.
Nimefurahi kusikia kama upo buheri wa AFYA mpendwa.
Karibu
"Enough of No Love"
Ukikomaa kuitatua nitakutwisha nyingine sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah. Nishakomaaa, nitwishe tu na hiyo nyingineUkikomaa kuitatua nitakutwisha nyingine sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah. Sawa nitaenda kuteka maji, mtaa wa pili. Natumaini mida hiyo tutakutana nawe.
Hahahaha!!Tupo mskitini kuna jamaa namskia anaongea na cm
Dem nishafika upo wapi
Jamaa nipo nyumbani nakuja
Bassi kaacha kuswali kamfata dem
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha[emoji23]Tupo mskitini kuna jamaa namskia anaongea na cm
Dem nishafika upo wapi
Jamaa nipo nyumbani nakuja
Bassi kaacha kuswali kamfata dem
Sent using Jamii Forums mobile app
au ile hapa seblen hapana twende chumbani labdaHakuna sentence ambayo wanaume tunaipenda kama "kafunge mlango kwanza"
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukia Mkolani , chukua Boda mwambie akulete Delta Executive uje tule bata la weekend."Baby ndio nakuja nishukie wapi??"_??Masela tujuzane huwa unakuwa katika hali gani baada ya kupata sms hii kutoka kwa demu wako????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app