Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,943
- 127,268
Hata ile ya "acha navua mwenyewe"Hakuna sentence ambayo wanaume tunaipenda kama "kafunge mlango kwanza"
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani huku ni kututia majaribuni na jua lote hili!!!!Dah!!..mie nakuwaga kwenye khali fulani hivi ya kushiba hata kama nina njaa
Tena ukute mtoto ndo mara ya kwanza aje mgegede na unamwelewa pia
Hapa nilipo nasubiria sms ya hivyo kutumiwa maana kuna mtoto anatoka Tabora To Mwanza
Muda huu anahesabu kilometa tu na ndo mgegedo wa kwanza
Nimejipanga vya kutosha kukabiriana nae
"Enough of No Love"
[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]mara sms ya pili inakuja "sorry babe hiyo sio sms yako"
kapeace
Hapo hasara kwa nani?.. Wakati wanawake mnaenjoy zaid katika mahusiano!
Hahahaa ukiona hivyo ujue umeliwa[emoji23][emoji23][emoji23] haiwezi kutokea, akiona amekosea atajibaraguza 'nilikuwa nakutania tu bebi nikurushe roho, kwani umenimiss sana mume wangu'?
Sent using Jamii Forums mobile app
UnamaanishajeHapo hasara kwa nani?.. Wakati wanawake mnaenjoy zaid katika mahusiano!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kinakata mzuka kama hicho utaanza kuhis mambo kama debe hiviHata ile ya "acha navua mwenyewe"
Ndo kipindi pekee ambapo kiboro kinakuwa kimepata moto ajabu... Hata ukimwagie maji hakipoi
ukipata ugeni wa dharura hii ujiandae...utasikia "baby" nikuambie kitu?
Sasa hutaki kuambiwa?ukipata ugeni wa dharura hii ujiandae...utasikia "baby" nikuambie kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app