Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,882
- 7,916
Sikiliza hii Ngoma ya Roma ft Maarifa - Simu
Haifiki hata robo ya ngoma ya Nikki MishiSikiliza hii Ngoma ya Roma ft Maarifa - Simu
Hakika mkuuHaifiki hata robo ya ngoma ya Nikki Mishi
Sio kutumia tuu sautiKutumia sauti ya rais kwenye muziki hivi inaruhusiwa Tanzania? 😂😂😂
Yani maana yake mavumba ya royalties yakianza kuingia lazima yafike Ikulu siyo?Sio kutumia tuu sauti
Hii ngoma Mama mwenyewe Katia vocal akiwa booth huoni hapo ft Mama Samia😆
Naaam.Sio kutumia tuu sauti
Hii ngoma Mama mwenyewe Katia vocal akiwa booth huoni hapo ft Mama Samia😆
Acha sauti hata jina tu hairuhusiwi. Tatizo rais mwenyewe anajitakiaKutumia sauti ya rais kwenye muziki hivi inaruhusiwa Tanzania? 😂😂😂
Niaje Tundu? Wameshakutoa kwenye chumba cha kunyongea au bado upo? Utakuwa na jero la karibu hapo?Acha sauti hata jina tu hairuhusiwi. Tatizo rais mwenyewe anajitakia
Kwa nini hairuhusiwi?Acha sauti hata jina tu hairuhusiwi. Tatizo rais mwenyewe anajitakia
Unawezaje kumtaja Dikteta kirahisi?Kwa nini hairuhusiwi?
Inaruhusiwa na haijaanza Leo Kijana wetuKutumia sauti ya rais kwenye muziki hivi inaruhusiwa Tanzania? 😂😂😂
We jamaa utakuwa Tisiii na umeweka picha ya Lissu ili kuwapoteza maboyaAcha sauti hata jina tu hairuhusiwi. Tatizo rais mwenyewe anajitakia