Ndg hapa hatujadiri personalities tunaongelea serikali.Huu ujumbe ni wa kwako wewe unayejifanya shida za watanzania huzijui kiasi cha kutoa maneno ya kashfa. Soma vizuri hamna sehemu nimeandika serikali. Mimi nakuapia maisha yatakugonga hutokaa uamini kama ni wewe!