Bomu la wanafunzi litaiangusha hii serikali!

Bomu la wanafunzi litaiangusha hii serikali!

Mimi kwa kweli hata sijui Kipaumbele chetu ni nini.
Sioni umuhimu wa kujenga Darasa kama unashindwa kumkopesha mtoto.
 
Tunakokwenda siyo. Maelfu ya wanafunzi wamekosa mikopo, wako mitaani na bila shaka watalazimika kuandamana kudai haki yao ya msingi, yaani Elimu. Polisi watatumia nguvu nyingi kuwanyamazisha, ila haitawezekana, kwa maana kwamba wananchi nao watawaunga mkono. Na hili swala litakuwa ni tatizo ambalo halitazimika kamwe.

Nadhani serikali iangalie hili swala la mikopo kwa wananfunzi kwa jicho la pili. Hili ni bomu na tishio kubwa sana kwa huu utawala
Bongo hapa hapa? Na kataa mkuu, sisi wa Tanzania hatuna jeuri hiyo!!
 
Ajira pia. Na ndio maana mswada wa habari ukapitiswa haraka. Tanzania itabakia ile ile miaka nenda rudi
Ajira ishakuwa hewa sasa.
Sijui wanaona shida gani kusema kama hawana mpango wa kuajiri.
 
Ajira ishakuwa hewa sasa.
Sijui wanaona shida gani kusema kama hawana mpango wa kuajiri.
Mawazo ya utegemezi hayo, unawaza ajira badala ya kufikiria kuajiri? Yaani unasoma ili uajiriwe?
 
Wewe ni mmoja kati ya wajinga maarufu duniani. Nchi zilizoendelea kama USA zinakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu nchini mwao wewe unataka wazazi wa Tanzania wasomeshe watoto kwa gharama zao wenyewe? Wewe ni mpimbavu wa kwanza duniani.
Usituzingua na habari za USA, unataka kutuambia wanafunzi wote wa USA wanakopeswa?
 
mi naona tupo kwenye gari bovu.. dereva anajaribu.

usinidrive ili nisikutumbukize kisimani, unywe maji weeeee...
 
Kama wewe ni maskini, shule ya msingi na sekondari nani alikukopesha?
Watoto wetu wasomeshwe kwa kodi zetu.
Serikali ina pesa nyingi sana.Kama inashindwa ipige Harambee kama ilivyofanya kwenye maafa ya Kagera.
 
Ulitaka usomee chini ya mwembe? Halafu hela ya madarasa ukopeshwe?

Kusomesha wananchi wake liwe ndio jukumu kuu.Sioni mantiki ya kununua Mashangingi,Ndege,Barabara za hewani huku watoto hawaendi shule.Kama unafikiri kusomesha ni Gharama Jaribu Ujinga.
 
mbona vijana mnaotetea hii serikali mnajitoa ufahamu kiasi hiki???hao vijana ni ndg zenu jamani!!!vyama vinapita tuu.
 
Wewe ni mmoja kati ya wajinga maarufu duniani. Nchi zilizoendelea kama USA zinakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu nchini mwao wewe unataka wazazi wa Tanzania wasomeshe watoto kwa gharama zao wenyewe? Wewe ni mpumba.u wa kwanza duniani.
Umeshasema nchi zilizoendelea.sio kila kinachofanyika marekani tuige
 
Af swala la kukopeshwa co lzm MKUU.... mkopeshaji mwenyewe ndio anaamua akupe/asikupe..OVA
 
Kukojoa ukojoe wewe,utegemee mwanao asomeshwe kwa mkopo wa serikali,watapata wenye vigezo kwa 100%,wengine kakopeni benki msomeshe wanenu,mmebweteka na kuona kama vile lazima,ile ilikua juhudi ya serikali kuingiza wanafunzi kwa wingi.Sasa kuna UDOM,MUHAS,UCLAS na UDSM vinatosha kabisa kufikia malengo ya serikali
Serikali ya watu wenye uwezo mdogo hutetewa na watu wliovurugwa kama wewe. Haki ya kusomesha watoto wa nchi ni ya Serikali kwani tunaipa kodi ili izingatie vipaumbele; na kipaumbele cha kwanza ni watoto wetu kupata elimu, perod!! Kama inadhani tuliichagua kununua Bombadier, basi tutakuwa tayari kuwa barabarani tukiungana na watoto wetu kuibana mbavu hadi ijitambue.
 
Watoto wetu wasomeshwe kwa kodi zetu.
Serikali ina pesa nyingi sana.Kama inashindwa ipige Harambee kama ilivyofanya kwenye maafa ya Kagera.
Yaani kwa hoja hizi ndio mnajiaminisha kuwa serikali itatikisika kwa suala la mikopo? Hizi kelele zote ni njaa ya kushika pesa na wala si kusoma.

Unafahamu mkopo unatolewa chini ya sera ya cost sharing? Kama ni cost sharing basi nikuulize wewe unayelilia mkopo umechangia nini?
 
Af swala la kukopeshwa co lzm MKUU.... mkopeshaji mwenyewe ndio anaamua akupe/asikupe..OVA
Katika ishu ya elimu kukopesha ni utaratibu ili kufanya re - cycling ya fedha inayotumika, si hiyari ya anayebeba mfuko kutoa au kutotoa ikiwa mwenye mali kasema toa!!!
 
Serikali ya watu wenye uwezo mdogo hutetewa na watu wliovurugwa kama wewe. Haki ya kusomesha watoto wa nchi ni ya Serikali kwani tunaipa kodi ili izingatie vipaumbele; na kipaumbele cha kwanza ni watoto wetu kupata elimu, perod!! Kama inadhani tuliichagua kununua Bombadier, basi tutakuwa tayari kuwa barabarani tukiungana na watoto wetu kuibana mbavu hadi ijitambue.
kodi unayolipa sio kwa ajili ya kukopesha,hilo ni jukumu lako na mkeo
 
Back
Top Bottom