DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,907
- 4,235
100% trueSi kwa unafiki wa watanzania, acha kabisa kuwapa hamasa vijana kuandamana maana la kukosa mkopo linatosha wasiongeze na vilema na vifo itakuwa hasara kubwa kwa wazazi wao.
Ukitaka kuhakiki maneno yangu nenda vituo vya daladala uone mwanafunzi tena masikini wa darasa la kwanza akisukumwa na jitu shababi ili lipande kwanza kwenye daladala bila kuhakikisha kwanza anampandisha mtoto huyu mdogo!
Leo ndio useme waliokosa mkopo wataungwa mkono na raia?? Thubutuu!!!