Gwamaka Akimu
Senior Member
- Dec 24, 2011
- 117
- 110
Labs za vyuo vingi computers zimekufa inatakiwa mwanafunzi anunue laptop yake, lectures wanatoa softcopy Kama una computer basi ukaprint hiyo ni cost nyingine, vyuo vingi havina hostels za kutosha inampelekea mwanafunzi akapange chumba nje ya chuo, ada ya chuo haipungui 1.25 million Kwa vyuo vingi hapa Tz Na hapo hujaweka Na gharama nyingine za bima n.k. Nauli+usumbufu Kwenye mabasi pia ni tatizo. Kama mtu alisoma shule za serikali o-level na A-level kutokana na uwezo mdogo wa pesa wa wazaZi wake basi usitarajie wataweza kumlipia mtoto huyo ada ya chuo na akasoma Kwa amani bila ya kuwa na stress. Mikopo Kwa elimu ya juu ni muhimu kuliko ambavyo serikali inafikiria especially Kwa nchi masikini ambazo unakuta mzazi hajasoma na hajui chochote kuhusu elimu ya juu.
Nachoona serikali inawaadhibu wanafunzi wa vyuo Kwa kosa lililofanywa na viongozi wa awamu zilizopita, awamu zilizopita zilishindwa kuicommand HESLB idai mikopo Kwa wanafunzi waliomaliza, sitaki kuamini bodi ya mikopo ilishindwa kupata mbinu ya kurudisha pesa zao kutoka Kwa wadaiwa wake hadi inafikia watu wa 1994 hawajalipa mikopo. Kuna sehemu nyingi za kuwabana watu na ukawapata like TRA, ubalozini, Serikali za mitaa, viwanja vya ndege n.k.
Solution ni Serikali kuhakikisha HESLB inalipwa madeni yake Kwa wanafunzi waliomaliza hadi itapokuwa stable kujitegemea na Sio kuwapa bajeti ndogo Kwa kisingizio cha ufinyu wa pesa. Nchi haiwezi kuendelea Kwa kusomesha wanasayansi tu, kila fani ina MCHANGO wake katika jamii Kama ikitumiwa vizuri. Bado naona kuna tatizo kubwa Kwenye elimu yetu.
Nakumbuka kuna rafiki yangu aliniambia tatizo la watanzania ni "njaa", mtu akiwa Na njaa anakuwa mvivu wa kufikiri. Yani ukiangalia wabunge wengi wakuu wa mikoa Na wilaya, wakurugenzi wamenufaika na mikopo ya elimu ya juu pamoja Na kusoma masomo ya arts lakini wanajisahau kabisa kutetea wadogo zao. So sad