bomu la Olasiti limetoka nchi gani?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Taarifa za awali zilizopatikana kwa msaada wa umoja wa afrika(AU) zinasema kuwa bomu lililorushwa kwenye viwanja vya soweto limetengenezwa kiwandani huko jamhuri ya watu wa china.
Vipi kuhusu lile bomu lililotumika pale Olasiti limetokea nchi gani?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Limetoka China na Mwigulu na Kinana kwa nyakati tofauti walienda China.
 
Limetoka China na Mwigulu na Kinana kwa nyakati tofauti walienda China.
mbona hatuambiwi?kama ilivyokuwa kwa bomu la juzi pale soweto?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mleta maada kwa taarifa nilizo nazo alielipua bomu alisha kamatwa lakini sidhani kama wana mpango wa kumtaja hata anakotoka maana si mtu wa Arusha yaani siyo dereva toyo....
 
Mleta maada kwa taarifa nilizo nazo alielipua bomu alisha kamatwa lakini sidhani kama wana mpango wa kumtaja hata anakotoka maana si mtu wa Arusha yaani siyo dereva toyo....

ina maana bado wanapima upepo?kwangu mimi mrusha bomu sio issue bali aliyemtuma kufanya hivyo!
Watanzania tumekuwa wepesi wa kusahau,mzaha mzaha tutasikia msafara wa rais wapigwa bomu!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom