Bomu la Nyuklia: Jielimishe hapa

Nlikua najiuliza km kupata 50kg za U-235 kunahitaji tani zisizopungua 100 na kuchuja tani 1 so chini ya mwaka 1,so ni zaidi ya miaka 100 na ushee itatumika ktk uchujaji wa hzo tani 100..
Ila nimeelewa zaidi MTU aliyesema kwmb kutokana na maendeleo yaliyopo hvi ss kuna njia za kisasa zaiDi ktk kufanikisha hlo suala

Issue ya Genetic mutation itatokea iwapo km hzo radiations zitaingia ktk seli zinazotumika ktk utengenezaji wa mtoto(Sperm,Egg) na hivyo kutakuepo na mabadiliko ya kudumu ya DNA ambazo hubeba taarifa muhimu za kiumbe husika,Ikumbukwe DNA Zipo ktk kiini cha seli na Gene mutation hutokea kwa kurithi ama kulingana na hali ya mazingira


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom