Bomu la Nyuklia: Jielimishe hapa

Hapo kwenye nyekundu siyo kweli.

Mpaka sasa ni marekani pekee iliyowahi kutengeza ndege inayokwenda anga za juu na kurudi duniani (reusabale space shuttle) ikiwa inaongozwa na binadamu. Walitengeza ndege hizo kwa kutumia makampuni matatu ya kimerakani mwaka 1981; jumla ya ndege tano za namna hiyo zilitengezwa: Columbia, Challenger, Discovery, Atlantis, na Endeavour. Mwaka 1983 Challenger ipata accident na kulipuka wakati ikiwa inapaa pale Kennedey Space Center Florida, ikaua wanaanga wote waliokuwamo mara tu baada ya kuruka angani. Zilizobaki zilindelea kufanya kazi kwa zaidi ya miaka 20 hadi mwaka 2003 ambao Columbia nayo ilipata accident juu ya anga la Texas wakati ikirudi ardhini. Hizo tatu zilizobaki zilendelea kufanya kazi kwa miaka takriban 30 hadi ziliostaafishwa rasmi mwaka 2011 ndipo serikali ya Marekani ikaamua kuwa shughuli hiyo ifanywe na makampuni binafsi kibiashara. Makapuni kama Space X na Virgin Galactic ni kati ya makampuni yaliyongia katika biashara hiyo. Wakati hayajatengamaa, wanaanga wa Marekani hutumi Capsules za Kirusi ambazo siyo self propelled kwenda Intenational Space Station siyo kwa sababu hawana uwezo wa kuunda vyombo hivyo bali kwa sababau wanasubiri makampuni binafsi yatengamae, na hata hivyo huwa wanawalipa warusi gharama za kwenda huko juu. Kwa sasa hivi NASA wako bize kutengeza ndege reusable ya kwenda kwenye mwezi na anga nyingine za juu zaidi kuliko Intenational Space Station ambayo wameachia makampuni binafsi.

Urusi walijaribu kutengeza space shuttle yao Buran kwa kukopi zile za marekani ambapo waliunda moja tu lakini haikufanikiwa kuruka kwenda anga za juu hata mara moja.

Kwani ISS ndo iko juu zaidi? mbona hio ni low orbit earth ambapo hata communication satellite zipo juu zaidi ya Hicho kituo
 
Tukumbushane kidogo kuwa nchi ya kwanza kutengeneza silaha za nyukilia ilikuwa ni marekani chini ya mradi wao wa Manhattan Project ambapo walitumia mabomu mawili ya atomic dhidi ya Japan kwa kupiga miji ya Nagasaki na Hiroshima na kulazimisha vita ya pili ya dunia iishe. Miaka ya sitini pale Tanga kulikuwa na bendi inaitwa Atomic Jazz kwa kukumbukia makali ya bomu hilo la Atomiki lilioangushwa Japan. Kuanzia mwaka 1948 hadi leo hakuna bomu la namna hiyo lililowahi kutumika katika vita; nchi nyingi zimekuwa zinayatengeza kama retardant tu, yaani ukijulikana unalo basi hakuna atayekusogelea. Ubaya wa mabomu hayo ni kuwa yanaua waliomo na wasiokuwamo, kwa mfano bomu moja la nyuklia likilipuliwa nchi moja basi hata majirani watapata madhara yake. Katika teknologia ya Nyuklia, ni Ukraine tu wakati ikiwa chini ya USSR iliyowahi kuwa na ajali kubwa ya kiufundi iliyotokea Chernobyl mwaka 1986 ambayo yaliathiri hata nchi za Ulaya. Ajali ya tetemeko la ardhi ya Japan iliyosababisha ajali ya Fukushima Daaichi haikujaweza kufikia ile ya Chernobyl.

Kwa hiyo hata kama Urusi wana mabomu mengi ya aina hiyo, hayasaidii chcchote kwani hayatumiki vitani na hata yanapotumika hyaawezi kuwa zaidi ya mawili katika vita moja, hafalu mwishoni ni kuwa Urusi imeshaprove kutokuwa na uwezo mzuri wa kulinda silaha hizi hasa kwa vile ilishindwa kulinda Chernobyl.

Mkuu una elimu gani wewe?
Chernoby kilikuwa ni kinu cha kuzalisha umeme, halikuwa bomu, na hata Japani walisha pata madhara kama hayo, Halafu Russia hajawahi tumia hata kichwa kimoja cha Nuclear kwenye vita, so uikurupuke mkuu
 
Mmmh! umenikumbusha mbali sana "terminologies" hizo. Mara nuclear fusion, isotopes e.t.c. Mimi hapa cna msaada kwakweli (zaid ya "likes" na kuwafagilia kina Gay-Lussac!, bhaaas!).

Natamani Dr.Ghalib Bilal (V.President) angekuwa humu ndani. Ni moja ya watanzania nadra sana wenye Elimu & Kisomo cha mambo haya.

Respect!
nahisi atakuwa ameshasahau sasahivi,..fisiem washamjaza fix na propaganda zakina Nnauye,..wacha mchezoo kabisa
 
Hapo kwenye nyekundu siyo kweli.

Mpaka sasa ni marekani pekee iliyowahi kutengeza ndege inayokwenda anga za juu na kurudi duniani (reusabale space shuttle) ikiwa inaongozwa na binadamu. Walitengeza ndege hizo kwa kutumia makampuni matatu ya kimerakani mwaka 1981; jumla ya ndege tano za namna hiyo zilitengezwa: Columbia, Challenger, Discovery, Atlantis, na Endeavour. Mwaka 1983 Challenger ipata accident na kulipuka wakati ikiwa inapaa pale Kennedey Space Center Florida, ikaua wanaanga wote waliokuwamo mara tu baada ya kuruka angani. Zilizobaki zilindelea kufanya kazi kwa zaidi ya miaka 20 hadi mwaka 2003 ambao Columbia nayo ilipata accident juu ya anga la Texas wakati ikirudi ardhini. Hizo tatu zilizobaki zilendelea kufanya kazi kwa miaka takriban 30 hadi ziliostaafishwa rasmi mwaka 2011 ndipo serikali ya Marekani ikaamua kuwa shughuli hiyo ifanywe na makampuni binafsi kibiashara. Makapuni kama Space X na Virgin Galactic ni kati ya makampuni yaliyongia katika biashara hiyo. Wakati hayajatengamaa, wanaanga wa Marekani hutumi Capsules za Kirusi ambazo siyo self propelled kwenda Intenational Space Station siyo kwa sababu hawana uwezo wa kuunda vyombo hivyo bali kwa sababau wanasubiri makampuni binafsi yatengamae, na hata hivyo huwa wanawalipa warusi gharama za kwenda huko juu. Kwa sasa hivi NASA wako bize kutengeza ndege reusable ya kwenda kwenye mwezi na anga nyingine za juu zaidi kuliko Intenational Space Station ambayo wameachia makampuni binafsi.

Urusi walijaribu kutengeza space shuttle yao Buran kwa kukopi zile za marekani ambapo waliunda moja tu lakini haikufanikiwa kuruka kwenda anga za juu hata mara moja.

Hata Marekani pia amekopi kila kitu hasa kwenye mambo ya space technology kutoka Ujerumani kuwa sahihi zaidi Ujerumani ya Hitler, wanasayansi wa Hitler ndiyo baba au unaweza kusema mama wa missile technology kwa kifupi NASA imeweza tu kuwa jinsi ilivyo kwa kuiba au kupora teknologia na wahandisi na wanasayansi wa ktk Ujerumani!

Hata Nuclear science ambayo ndiyo imepelekea kuundwa kwa Bomu la Atomiki iliwezekana kwa sababu Marekani alichukuwa wanasayansi wengi sana ktk Ulaya kama vile kina Enrico Fermi ktk Italia, Einstein ktk Ujerumani, Leo Szillard ktk Hungary na wengine wengi ambao ndiyo waliounda Manhattan Project!

Hivyo swala la kusema kwamba Urusi wameiba Teknologia ya Mmarekani SIYO kweli bali wote wawili Urusi na Marekani wameiba teknologia na wanasayansi wengi sana baada ya Vita Kuu ya Pili kuisha teknologia ktk Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya!
 
Kuna sehemu nilisoma wanasema, Uranium U-235 size ya grain moja ya mchele inatoa energy sawa na tani tatu za makaa ya mawe.
This is exactly what we need to produce electrical energy.
 
Hii mambo ya nyuklia...naona iendelee tu ila kwa minajili ya kupambana na alliens....kutoka sayari nyingine
..lakin kama ni kwa ajili ya binadamu...naona silaha zilizopo zinatosha kabsaaaa!! Sina cha kitaalam cha kuchangia kwenye hii topic....mnisamehe ila ni concerns tu...!! Loh!!
KLF,HGL mwenzangu,..hata mie huwa nawazaga sana Allience
 
hivi hapa bongo si kuna uranium?
kwa nini tusimtumie bilal kuzalisha Atomic?
nahisi huyu ameingia ktk siasa,..mwisho wakila kitu,.,siasa ya bongo inachanganya sana,....nanikaz nzito kuliko kudeal na nuclear,..kuandaa fix na propaganda huku kuwawaza akina mbowe na lissu miaka 10,...ukistaafu siasa nishida,...mara viarusi,mara damu imefanyaje sijui
 
Mkuu una elimu gani wewe?
Chernoby kilikuwa ni kinu cha kuzalisha umeme, halikuwa bomu, na hata Japani walisha pata madhara kama hayo, Halafu Russia hajawahi tumia hata kichwa kimoja cha Nuclear kwenye vita, so uikurupuke mkuu
(1) Je umesoma post yangu vizuri au ndiyo umekurupuka hivyo au hukuilewa! Katika post uliyoqwoti niliandika teknolojia ya Nyukila sikusema bomu la nyuklia! Mimi nina elimu kamili, lakini inawezekana wewe ndiwe mwenye elimu ya mafungu ambaye huwezi kuelewa unachosoma.

(1) Ajali ya Chernobyl (Urusi-wakati huo) lilikuwa ni tatizo la kifundi, wakati ajali ya Fukushima (Japani) ilisababishwa na tetemeko la ardhi ambalo liko nje ya uwezo wa binadamu. Tafakari maneno yako kabla ya kuyaweka hadharani.
 
Last edited:
Hata Marekani pia amekopi kila kitu hasa kwenye mambo ya space technology kutoka Ujerumani kuwa sahihi zaidi Ujerumani ya Hitler, wanasayansi wa Hitler ndiyo baba au unaweza kusema mama wa missile technology kwa kifupi NASA imeweza tu kuwa jinsi ilivyo kwa kuiba au kupora teknologia na wahandisi na wanasayansi wa ktk Ujerumani!

Hata Nuclear science ambayo ndiyo imepelekea kuundwa kwa Bomu la Atomiki iliwezekana kwa sababu Marekani alichukuwa wanasayansi wengi sana ktk Ulaya kama vile kina Enrico Fermi ktk Italia, Einstein ktk Ujerumani, Leo Szillard ktk Hungary na wengine wengi ambao ndiyo waliounda Manhattan Project!

Hivyo swala la kusema kwamba Urusi wameiba Teknologia ya Mmarekani SIYO kweli bali wote wawili Urusi na Marekani wameiba teknologia na wanasayansi wengi sana baada ya Vita Kuu ya Pili kuisha teknologia ktk Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya!

Nadhani wewe hujui kuwa nchi ni watu waishio pale siyo waliozaliwa pale wenye asili ya pale. Iwapo Einstein alizaliwa Ujerumani lakini akafanyia mambo yake akiwa mmarekani, ni lazima ukubali kuwa huyo ni mmarekani siyo mjerumani tena. Marekani ya asilia ni ya wahindi wekundu, lakini sera zake zinavuia watu wengi kuhamia na kuifanya iwe nchi ya maajabu. Bomu la nyuklia la kwanza lilitengezwa na kutumiwa na wamarekani siyo wajerumani. Ukitaka kutafuta vyanzo vya watu basi hata hao wajeurmani siyo wa huko bali ni wa kutoka Olduvai Gorge hapa Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom