Niliwahi kuhudhuria kikao cha wazazi kwenye shule moja jijini Dar wanaposoma wanangu kiukweli I was so disappointed baada ya kusikia baadhi ya wazazi wakitamani watoto wao one day wasome udom.Yaani Mtoto umlipie ada 1.5m kwa mwaka shule ya msingi then university akasome Udom-si majanga hayo?
Point yake mbona ipo wazi unashindwaje kuielewa? Anamaanisha kama walimu wake ni wa 2000s hakuna senior staff wa kutosha.
mimi naijua Faculty of medicine ya UDSM sio MUCHS
elimu tz safiii sana ;;;;;;;;udom ni ahadi ya ssssssssm ili kuwa wasomi wengi ;;; bravo sssssssssssm
Naona unachanganya mada hapa, hiyo issue ya mguu haikua MUHAS ila MNH,,waliofanya hivyo waliadhibiwa ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kutibu kipindi kile!
Nacho kisema nakifahamu, unafahamu Prof.Fabian kilichomtoa kwenda UDOM? Ni kutokana na ----- unaoendelea hapo, nazungumzia kufungwa kwa muda na marekebisho yafanyike, i understand kunachangamoto ktk uanzishwaji wa chuo lakini hiki mlicho kifanya cha kutupa miili IMTU hakijadiliki na sio cha kibinadamu, haijawahi kutokea duniani, hakika mmeandika historia ya ajabu, vitendo vya wanafunzi kutoka cadaver room na viungo ni kiashiria tosha kuwa kuna shida, na shida kubwa ktk admistration!
UDOM ndio usiseme,maana hata wakufunzi wao ni vituko!!unakuta lecturer anashindwa challenge kidogo tu toka kwa wanafunzi,maana anakua hanatofauti yoyote ya ufahamu wa mambo kulinganisha na wanafunzi wake.hili nalo ni bomu lingine kaka.
Ninasubiri kwa hamusubiri likilipuka !
Wa kutosha wanaanzaia wangapi????!
2000 mpaka leo ni 14 years, inachukuka miaka 3-4 kufanya PhD sasa publications na post doc ni suala jingine kabisa achilia mbali mkopo kwa ajili ya hiyo PhD!!!!! Vikwazo vipo kuanzia Research, Consultancy mpaka Teaching ndio maana nasema politics na dynamics za vyuo vya juu ni mada mtambuka sio name and shame matter!!
Chuo chenye wakufunzi wa kutosha hapa Tanzania kiko wapi???!!
Hiyo UDOM ilianzishwa na bado ikihitaji walimu wanatoka vyuo vikongwe, ukienda Dodoma kuanzia CBE, Hombolo, Sjut, Mipango vyote vinalishwa na wakufunzi kutoka UDOM, unajua hilo???!!!! SAUT mwanza watu wanatoka UD sasa huoni ni kitu ambacho kipo almost kote na ku narrow down tatizo as of UDOM ni black sheep mnajidanganya?????!!!!!
IMTU, UDOM, IFAKARA & sasa Peramiho ni majanga ya taifa kwa ustawi wa afya nchi hii.....FULL STOP!!
IMTU, UDOM, IFAKARA & sasa Peramiho ni majanga ya taifa kwa ustawi wa afya nchi hii.....FULL STOP!!
Mkuu mbona unachanganya vitu ambavyo hazihusiki mwenye point nliyotaka kukusaidia kuielewa? Ishu iliyopo hapa ambayo wala haihitaji mjadala ni kuwa UDOM ina uhaba mkubwa wa senior staff. Hata PhD holders waliovutwa kuja wakati wa mwanzo toka UDSM wengi wameshaondoka. Wamebaki wachache sana. Sasa kama umeamua kubisha kuwa UDOM hakuna upungufu wa senior lecturers, wee bisha lakini huo ni ukweli upo wazi. UDOM imejaa lower level cadres ya academic staff.
Boya wee Mi nimemaliza Udom and am the best perfomer kazini acha danganya watu kama kichwani huna kitu hata ukisoma haverd sawa na bure