Ni la kiutawala linalohitaji maamuzi ya kielimu.
Tatizo sio kujua uka dispose wapi?Tatizo ni kutokua na elimu ya kujua nini madhara yake kama wata dispose hadharani.Wao waliona ni kawaida tu,hata usipotumia tanuru.hahaha,mkuu unacheza shere yani bora ungeuchuna tu. haya niambie ili kujua kwamba unahitaji udispose wapi hayo masalia ni kiwango gani cha elimu kinatakiwa kwa watawala hao? ili tujue kama hao mabosi hawana!! ni hivi tusizunguke chief,kujua nini ni sahihi na kufanya kitu sahihi ni vitu tofauti! hilo sio tatizo la ACADEMICia bali ni la kiADMINISTRATIONia
Unamjua daktari aliyefanya upasuaji huo alisoma wapi au unaropoka tu?
lnashangaza mtu kuupinga ukweli huu!
Kwa taarifa yako nina full list ya hao unaowasema ni walimu wa UDOM na matokeo yao ukitaka.
Namjua vizuri sana na kumuheshimu mkuu wa 'shule' ya medicine hapo UDOM kwa sasa ni prof ingawa enzi ananifundisha hakuwa prof yet.
Ninawafahamu aina ya wanafunzi wanaopelekwa kuusomea udaktari hapo UDOM,IMTU na kata nyingine.
Vile vile ninatambua hospitali inayotegemewa na UDOM kwa clinicals ni Dodoma regional hospital na kuelewa vizuri idadi na uwezo wa madaktari na madaktari bingwa waliopo hapo............
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE!!!
Sitengenezi zengwe wala jungu lakini ni tahadhari juu yatakayokuja kutokea baada ya hawa 'half cooked' watakapoanza kunyakuwa roho zetu na wajukuu zetu!
Tatizo sio kujua uka dispose wapi?Tatizo ni kutokua na elimu ya kujua nini madhara yake kama wata dispose hadharani.Wao waliona ni kawaida tu,hata usipotumia tanuru.
Tatizo sio kujua uka dispose wapi?Tatizo ni kutokua na elimu ya kujua nini madhara yake kama wata dispose hadharani.Wao waliona ni kawaida tu,hata usipotumia tanuru.
Kwa sababu hao 'half cooked', unalaumu walimu wa UDOM, TCU, wizara ya elimu au system nzima. Unataka kutuaminisha kwamba Muhimbili wanafundishwa vizuri kwa sababu wanamaprof wengi kuliko IMTU wakati tunajua wanafunzi hao full cooked hawaendi dissecting room inavyotakiwa, wanasoma anatomy kwenye video? Hao product za Muhimbili si tunajua.
Kama unaijua list ya walimu wa UDOM umeshindwa hata kuappreciate juhudi wanazofanya kusomesha hawa waliowaajiri ili nao wawe maprof au unadhani maprof waliopo wangetosha kuhudumia population inayokua katika vyuo vikuu au wanafunzi wote zaidi ya mia sita wakasome MUHAS?
Halafu wakati unalamika ya vyuo vya kata vipi kuhusu interns wanaenda hospitali kwenye idara kuna specialist mmoja na second on call anakuwa A.M.O?
Tukubali ukweli kama taifa kwenye sekta ya afya sisi bado sana, sio serikalini wala kwenye sekta binafsi. Tusiwaonee wengine.
hapa kwenye red umeongea vema. tatizo lako inaonyesha unakosa level ground ya kushindanisha watu wa profession tofauti. ni hivi status ya profession inatokana jamii inavyochukulia umuhimu na kwa kiasi fulani nguvu iliyotumika kuipata hiyo profession. leo hii ukiiuliza jamii kati ya prof wa sociology na MD (achilia mbali pediatrician) nani muhimu "noble". jibu litakuwa MD. profession zote hazipo sawa, zingine ni noble kuliko zingine na zinalinganishika.Sidhani!!!!!! Na sio kweli!!!!
Unapoongelea classes za madaktari kwa madaktari utakuwa na hoja ila kutaka kuweka classes kati ya taaluma mbili zinazojitegemea kuanzia theory mpaka practical utaonekana kituko!!!!
Yaani say huyo professor wa Sociology na masters holder wa medicine au paediatrics unawawekaje kundi moja???!!! Hata wa degree moja huyu anatibu huyu yupo field huko na data za project hiyo "noble" attitude inaingia wapi???!!!
MUHAS na UDOM unafananisha kwa lipi sasa, milestone ya chuo ni moja ya factor za kuweka classes yes lakini huwezi ku bank on milestone for stigmatization purposes as it is the case in here "barbaric and lack of civilization" a typical case!!!!!
"Class is inherent feature of any society, actually it is an engine for change" thus hata huyo Marx, K hakuchanganya wakulima na wamiliki wa viwanda, bourgeoisie na peti one hawakiwa class moja, workers na labourers hawakuwa class moja, nyie mnachanganya tu sababu you are "conservative" while the society itself is so dynamic!!!!!
Hawakuona kawaida na ndio maana walikuwa na kifaa na hata kilipoharibika walijaribu kwingine ili kukwepa huo "ukawaida" unaouleta wewe, walipokwaribiwa na wakaguzi wakatafuta short cut through a long corner!!!!!
Ndio maana mpira umeanza na wanasema "yupo aliyepewa jukumu na sasa simu hazipatikani inasemekana alienda Zanzibar" kama ingekuwa ni kawaida basi "blame game" isingekuwepo!!!!
hapa kwenye red umeongea vema. tatizo lako inaonyesha unakosa level ground ya kushindanisha watu wa profession tofauti. ni hivi status ya profession inatokana jamii inavyochukulia umuhimu na kwa kiasi fulani nguvu iliyotumika kuipata hiyo profession. leo hii ukiiuliza jamii kati ya prof wa sociology na MD (achilia mbali pediatrician) nani muhimu "noble". jibu litakuwa MD. profession zote hazipo sawa, zingine ni noble kuliko zingine na zinalinganishika.
wakorea kaskazini wanasema vyuoni mwao 75% ni pure sciences na 25% ni humanity sciences. wanajua kuna taaluma zingine ni muhimu kuliko zingine. shukrani serikali yetu inaliona hili kupitia utoaji wa mikopo. hapa simaanishi kwamba madaktari wanaakili kuliko kozi zingine,japo kwa kiasi fulani ni kweli.
pia sio kwamba ni unyanyapaa bali ni ukweli ambao tunatakiwa kuwaambia na wanetu .
Ndiyo nafahamu amesoma Muhimbili MD na MMED na Japan baada ya hapo ni Daktari mzuri ila miscommunication na kutofuata taratibu siku ya tukio ndiyo kulipelekea kuwachanganya wagonjwa!Unamjua daktari aliyefanya upasuaji huo alisoma wapi au unaropoka tu?
Na sasa tumeambiwa waalimu wote wa elimu ya msingi watakuwa na shahada,Movie at work!!
Kwa sababu hao 'half cooked', unalaumu walimu wa UDOM, TCU, wizara ya elimu au system nzima. Unataka kutuaminisha kwamba Muhimbili wanafundishwa vizuri kwa sababu wanamaprof wengi kuliko IMTU wakati tunajua wanafunzi hao full cooked hawaendi dissecting room inavyotakiwa, wanasoma anatomy kwenye video? Hao product za Muhimbili si tunajua.
Kama unaijua list ya walimu wa UDOM umeshindwa hata kuappreciate juhudi wanazofanya kusomesha hawa waliowaajiri ili nao wawe maprof au unadhani maprof waliopo wangetosha kuhudumia population inayokua katika vyuo vikuu au wanafunzi wote zaidi ya mia sita wakasome MUHAS?
Halafu wakati unalamika ya vyuo vya kata vipi kuhusu interns wanaenda hospitali kwenye idara kuna specialist mmoja na second on call anakuwa A.M.O?
Tukubali ukweli kama taifa kwenye sekta ya afya sisi bado sana, sio serikalini wala kwenye sekta binafsi. Tusiwaonee wengine.
Mliosoma UDOM inabidi mkasome tena vyuo vingine Post Graduate!!! Elimu ya udom bado sanaaa...
Kweli vichaa hawataisha dunia hii, Wale madaktari walio pasua mgonjwa kichwa badala ya goti wamesoma Udom? Hao mawaziri mizigo wamesoma Udom? Wewe unaeropoka humu Jf umelisaidia nini taifa hili kama sio kutwa kuropoka kwenye mitandao ya kijamii na vijiwe vya ghahawa?
Mbona mnaonea sana UDOM! Why? Kwa nn? Kila siku udom udom khaa