luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,984
GOD FOR BIT
Jiwe hana maono ya wapi nchi anataka kuipeleka, sasa ukimwambia afanye kama watangulizi ni sawa na kumchoma kwenye kidonda.
Unafikiri atakuwa anazungumzia nini ikiwa uchumi umemshinda, tatizo la ajira kalitengeneza kubwa zaidi baada tu ya kuingia madarakani.
Jiwe hata kama akifanya hivyo atakuwa hana lolote jipya la kuwaeleza Watanzania zaidi ya stori zile zile za kila siku ndege, sgr, tuibiwa sana, nchi tajiri hii, wapo watu wanakwamisha serikali yangu (Tundu Lissu) n.k hapo amekuwa amemaliza hotuba, na akiendelea zaidi ya hapo ni kutukana Watanzania.
Hahahaha ungekuwa Mkuu wa Majeshi ungemuondoa jiwe et!Kweli chief umesema kweli. Jiwe kapoteza Vision statement ya mahali anapopeleka taifa, watu hua sielewi wanasifia nini hii serikali? Na sehem kubwa ya watu wanaosifia utendaji kazi wa jiwe ni wazee ambao elimu hawana tofauti na ya kutambua wajukuu zake. Ila kundi la watu waliosoma wanaelewa jamaa kaleta uozo nchini.
Ningekua mkuu wa jeshi mimi, ningepindua hii nchi mana naona ududu mwingi. Ningepindua nchi. Ila ndy hivy Uwezo sina nabaki tu ku-comment huku JF. Sema ndy hivyo, watu wanajiangalia kwanza
Sipangiwi, ukinipangia ndio unaaribu kabisaaBasi jiwe weka mazingira mazuri ya PPP mbona hutaki sekta binafsi itamalaki hatimaye kuwe na ajira?umeumbwa na roho ya uharibifu he hujioni kama wewe ndo tatizo?ukimaliza miaka kumi bila kubadilika hakika wananchi wengi watakua wamerudi nyuma zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ma Professor Wengine Ni Wa Hovyo Hawana Uzalendo Mmoja Nilimfukuza Hapo Hapo Kila Ukiteua Mwanamke Wanasema Hawala YakeMaendeleo hayana chama